Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Matokeo ya Bawacha nani kashinda?Kwa mtu mwenye akili timamu lazima asome alama za nyakati kisha achukue hatua za haraka mapema kabla aibu kuu haijamfikia, Mbowe kila angle mpaka wakati huu ameshakataliwa, kuanzia ndani ya mabaraza ya Chama mpaka nje