Kwa mtu mwenye akili timamu lazima asome alama za nyakati kisha achukue hatua za haraka mapema kabla aibu kuu haijamfikia, Mbowe kila angle mpaka wakati huu ameshakataliwa, kuanzia ndani ya mabaraza ya Chama mpaka nje
Lissu anawajaza upepo hawa vijana maskini. Sasa huyu kijana afahamu kwamba kura za mtu wake hazitafikia hivyo yeye pamoja na mtu wake waanze kujipanga namna ya maisha mapya mdani ya CDM kuanzia tarehe 22.