cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
mahamud abdul huyu hiyo ndejembi mumtafute mwenye hiyo cv.
sidhani hii sura kama imewahi kukaa darasani popote.
😂😂😂😂
mahamud abdul huyu hiyo ndejembi mumtafute mwenye hiyo cv.
sidhani hii sura kama imewahi kukaa darasani popote.
Sasa anatakiwa makamu wa Rais anayeweza kuwa submissive 100%Bado hajaiva huyo!
Dm tena mkuu?? Uliza hapa hapa mkuu kuhusu huyu dogo Mimi nitakujibu ila muda utafika nyie wenyewe mtaelewa kwa nini SSH kamteua huyu dogo, dogo ni mjanjamjanja sana huyu na hakurupukagi kwenye mambo yake anajifichia kwa wasaidizi wake wapo makao makuu dodoma wao ni simu moja na nafikiri wapo team moja na dogo Abdul ndo maana kamsogeza karibu zaidiNjoo DM mkuu
nimeitafuta ile post siioni mkuuMara papu mkeka wa tumia akili unatiki