Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Njoo DM mkuu
Dm tena mkuu?? Uliza hapa hapa mkuu kuhusu huyu dogo Mimi nitakujibu ila muda utafika nyie wenyewe mtaelewa kwa nini SSH kamteua huyu dogo, dogo ni mjanjamjanja sana huyu na hakurupukagi kwenye mambo yake anajifichia kwa wasaidizi wake wapo makao makuu dodoma wao ni simu moja na nafikiri wapo team moja na dogo Abdul ndo maana kamsogeza karibu zaidi

Kiufupi watanzania mmepata dalali mpya wa nchi huyu mkikaa vibaya atawauza Hadi nyie
 
Reactions: 30P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…