Deogratus Kithama wa Nirvana EATV Karudi tena

Deogratus Kithama wa Nirvana EATV Karudi tena

Safi sana make kipindi kilikuwa kinaboaaaaaaaa

Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app
 
Kesho naisubiri kwa hamu kubwa, ksb napenda sana utangazaji wake.
Alivyoondoka nilisikitika , nami nikaacha kuangalia Nirvana.
Sijui alikwenda kuongeza elimu zaidi?, wajuzi naomba mnijuze alikuwa wapi huyu kijana mtanashani?.
Karibu sana Mzee Wa Fashiooon na mijimpasuo......
 
Kile kipindi lazima utangaze kwa swaga flan zakuvutia warembo ndio maana mkamwona jamaa yupo vile.

Basi hatari kama ndo hivyo, maana binafsi sijawahi kumwelewa kabisa
 
Basi hatari kama ndo hivyo, maana binafsi sijawahi kumwelewa kabisa
mda mwingine inatokea tu, unajikuta ukimcheki mtu unamuona kama wali nazi vile kumbe shughuli zake Mandingo anafoleni.
 
Kesho naisubiri kwa hamu kubwa, ksb napenda sana utangazaji wake.
Alivyoondoka nilisikitika , nami nikaacha kuangalia Nirvana.
Sijui alikwenda kuongeza elimu zaidi?, wajuzi naomba mnijuze alikuwa wapi huyu kijana mtanashani?.
Karibu sana Mzee Wa Fashiooon na mijimpasuo......
Alikuwa kwenye mapumziko mwaka mzima akijivinjali na mchumba wake
 
Deo is a very humble guy.

Ila basi asirudi kimya kimya, atuambie mtaani amekuta nini mpaka apige U turn?
 
Back
Top Bottom