The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Hivi wenzangu mnazungumzia nini kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni story ni vema ukakaa kimya kuliko kuendelea kuvumishaKuna story zilizuka eti huyo mzee wa Fashooooooon wanambashiteeee.
hahahah ni dhambi kabisa maana hata Harmorrapa yumo anatindwa nyusi.."Ukikosa Show Ya J'ne Ni Dhambi
Ya Fashiooooona"
Haa Haa.. Bora Nikae Kimya.
hahahah ni dhambi kabisa maana hata Harmorrapa yumo anatindwa nyusi..
Mtaalam jamaa huyu namjua vizuri sana. Inshu ya undigili walimzushia tu. Kile kipindi lazima utangaze kwa swaga flan zakuvutia warembo ndio maana mkamwona jamaa yupo vile.
Kile kipindi lazima utangaze kwa swaga flan zakuvutia warembo ndio maana mkamwona jamaa yupo vile.
mda mwingine inatokea tu, unajikuta ukimcheki mtu unamuona kama wali nazi vile kumbe shughuli zake Mandingo anafoleni.Basi hatari kama ndo hivyo, maana binafsi sijawahi kumwelewa kabisa
Alikuwa kwenye mapumziko mwaka mzima akijivinjali na mchumba wakeKesho naisubiri kwa hamu kubwa, ksb napenda sana utangazaji wake.
Alivyoondoka nilisikitika , nami nikaacha kuangalia Nirvana.
Sijui alikwenda kuongeza elimu zaidi?, wajuzi naomba mnijuze alikuwa wapi huyu kijana mtanashani?.
Karibu sana Mzee Wa Fashiooon na mijimpasuo......
Alikuwa kwenye mapumziko mwaka mzima akijivinjali na mchumba wake