Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano lake litalochezwa jumapili alfajiri dhidi ya Dominic Breazeale, anasema anajaribu kwenye rekodi yake awepo mtu aliyemuua ulingoni, Boxing sio mchezo wa magentlemen na ni mchezo pekee ambao ukiua bado unalipwa 'ni sehemu ya mchezo, inakubalika', so kwanini asiitumie hiyo haki yake?[emoji1][emoji1][emoji1]. Ok let's wait n' see, ila namuhurumia Breazeale, amekaa kibrazameni sana, hakupaswa kuomba pambano na hili jambazi...
Deontay Wilder says he wants to "get me a body" on his record and kill an opponent, making a mockery of those who have died or been permanently injured through boxing.
Wilder, the World Boxing Council heavyweight world champion, is one of the hardest punchers in the sport. Only two of his 41 opponents have lasted to hear the final bell, while others have fallen concussed onto the canvas.
On Saturday, he defends his belt against Dominic Breazeale, a 33-year-old who has won three in a row since suffering the only defeat of his professional career, to the unified heavyweight champion, Anthony Joshua, in 2016.
Breazeale isn't likely to pose much of a threat to the unbeaten Wilder, and the champion even told the challenger earlier this year to "make some funeral arrangement."
On Wednesday, Wilder went one step further.
"His life is on the line for this fight, and I do mean his life," he said, according to The Telegraph.
"I am still trying to get me a body on my record. Dominic Breazeale asked for this. This is the only sport where you can kill a man and get paid for it at the same time. It's legal. So why not use my right to do so?"
Wilder's comments are certainly controversial, especially as boxing history is littered with the corpses of fighters who have died in the ring or shortly after competing.
Ni tishio ndio ndo maana yupo top3, na katika mapambano 40 aliyocheza 39 kashinda kwa KO na kudraw 1, je kwanini asiwe tishio? Na cha kuongeza hakuna bondia aliyepigana naye hajalamba sakafu, hata Fury aliyetoa draw alilamba sakafu mara2 na amegoma kucheza rematch[emoji1][emoji1][emoji1]Halafu umenichekesha ....eti bondia tishio..acha kushekesha watu wasio taka kucheka
Kama Joshua anacheza na wa kina Ruiz kwanini useme Wilder hana hadhi ya kucheza naye? Na angekuwa hana hadhi Dazn wasingemtangazia dau la $100M kusign mkataba nayeNamchukia huyu jamaa kwanza hana lolote kwenye ulingo wa boxing na anataka sifa tu..
Kwanza hana hadhi hata kidogo ya kupigana na joshua na naomba hilo pambano lisitokee duniani ..japo tunajua kwamba angepigana na joshua angechakazwa vibaya sana sbabu ya kidomodomo chake kama mwanamke wa mipasho ya uswahilini, the fact kwamba hata akipigwa bado atakua amepokea mpunga mrefu kupitia mgongo wa joshua na umaarufu pia .. kwaio bora aishie huko huko
Wilder anakwepakwepa, dazn walimpa mkataba wa $100m akachomoa, eti anataka 50/50 na AJ kitu ambacho hakiwezekani
Atapigwa atachakaa[emoji116]View attachment 1099791
AJ anamiliki mikanda mitatu mikubwa huku Wilder ana mkanda mmoja tu, kwa lugha ya ndondi tunasema AJ yuko A side, so hawawezi kuandaa pambano wakalipwa sawa, timu ya AJ hawawezi kukubali maana 'brand' yake ni kubwa zaidi. Tena walimpendelea wakamwambia malipo yawe 60/40 akachomoa, hii ni dalili ya Wilder kumuogopa AJKwanini Ni Kitu ambacho hskiwezekani Mkuu? Hebu Fafanua Kidogo
Wilder anamuogopa AJ kishapewa mikataba mingi sana Tia saini tuzame ulingoni anakataaa.. anaogopa kuharibu record yake ya kutopigwa Mpaka sasa. Kwani anajua after AJ ni yeye ktk heavyweight kwa sasa japo kurudi kwa Fury kutawatikisa sana hawa miamba wawili, maana Fury katokea kukaa miaka mingi bila kupanda ulingoni na kapata draw na wilder, imagine akiwa fit? Japo alilambishwa sakafu mara kadhaa.. ngumi ya wilder acha kabisa [emoji1]Wilder anakwepakwepa, dazn walimpa mkataba wa $100m akachomoa, eti anataka 50/50 na AJ kitu ambacho hakiwezekani
Sema Wilder anachonga sana akiwa kwenye media yeye ndo anamtuhumu AJ anamkimbia [emoji23][emoji23][emoji23], ila kiuhalisia yeye ndo anamdoji, ushahidi ni mikataba aliyogoma kusign kwa visingizio visivyo na maana.Sema AJ sio mtu wa maneno, he is always humble. Kuhusu Fury yes kaja kuwachallenge kweli, unajua Wilder alifikiri Fury mwepesi kwavile alikuwa nje ya ulingo mda mrefu na alikuwa na matatizo ya kiafya ndo maana aliomba kucheza naye, kumbe ikawa sivyo alivyomdhania[emoji3][emoji3], kwa skills alizonazo Fury hata AJ atapata naye tabu sana ni ngumu kumtouch, udhaifu wake ni kwamba hana punch kali kama hao wenzakeWilder anamuogopa AJ kishapewa mikataba mingi sana Tia saini tuzame ulingoni anakataaa.. anaogopa kuharibu record yake ya kutopigwa Mpaka sasa. Kwani anajua after AJ ni yeye ktk heavyweight kwa sasa japo kurudi kwa Fury kutawatikisa sana hawa miamba wawili, maana Fury katokea kukaa miaka mingi bila kupanda ulingoni na kapata draw na wilder, imagine akiwa fit? Japo alilambishwa sakafu mara kadhaa.. ngumi ya wilder acha kabisa [emoji1]
Umeambiwa alimkwepa akasubiria wakati mzee baba anamatatizo kibao na kiwango kimeshuka ndio akakubali kupigana nae na tyson akakubali kwa kuwa hakuwa na kituLennox hajawahi mkwepa Tyson. Na walipopambana Tyson alukuona cha Mtema Kuni.
Umeambiwa alimkwepa akasubiria wakati mzee baba anamatatizo kibao na kiwango kimeshuka ndio akakubali kupigana nae na tyson akakubali kwa kuwa hakuwa na kitu
[emoji3][emoji3][emoji3]Mashabiki wa Tyson duniani kote ndio walivyo, too much excuses. Huwa hawaamini kwamba kuna bondia anayeweza kumzidi uwezo Tyson, kila alipopigwa walikuwa wakitafuta excuses, hata alipopigwa na Buster Douglas walisema aliingia ulingoni bila kufanya training (alikuwa anashinda kwenye strippers clubs)Kwahiyo Lennox kiwango hakishuki??? Tena Lennox ni mkubwa kuliko Tyson. Usije sema alisubiri Tyson azeeke
Mkuu pengine humjui vizuri Breazeale ,jamaa ni moto wa kuotea mbali japo alipoteza pambano kwa AJ lakini alicheza vizuri sana.Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano lake litalochezwa jumapili alfajiri dhidi ya Dominic Breazeale, anasema anajaribu kwenye rekodi yake awepo mtu aliyemuua ulingoni, Boxing sio mchezo wa magentlemen na ni mchezo pekee ambao ukiua bado unalipwa 'ni sehemu ya mchezo, inakubalika', so kwanini asiitumie hiyo haki yake?[emoji1][emoji1][emoji1]. Ok let's wait n' see, ila namuhurumia Breazeale, amekaa kibrazameni sana, hakupaswa kuomba pambano na hili jambazi...
Deontay Wilder says he wants to "get me a body" on his record and kill an opponent, making a mockery of those who have died or been permanently injured through boxing.
Wilder, the World Boxing Council heavyweight world champion, is one of the hardest punchers in the sport. Only two of his 41 opponents have lasted to hear the final bell, while others have fallen concussed onto the canvas.
On Saturday, he defends his belt against Dominic Breazeale, a 33-year-old who has won three in a row since suffering the only defeat of his professional career, to the unified heavyweight champion, Anthony Joshua, in 2016.
Breazeale isn't likely to pose much of a threat to the unbeaten Wilder, and the champion even told the challenger earlier this year to "make some funeral arrangement."
On Wednesday, Wilder went one step further.
"His life is on the line for this fight, and I do mean his life," he said, according to The Telegraph.
"I am still trying to get me a body on my record. Dominic Breazeale asked for this. This is the only sport where you can kill a man and get paid for it at the same time. It's legal. So why not use my right to do so?"
Wilder's comments are certainly controversial, especially as boxing history is littered with the corpses of fighters who have died in the ring or shortly after competing.
AJ amepigana na Dillian Whyte,Povetkin,Parker,Klitshko nk unaanzaje kumwambia anapigana na vibonde?Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde
Namaanisha ratiba zao zijazo wote wanapigana na majina ya kawaida, AJ anapigana na Ruiz, Whyte anapigana na Rivaz, Furry anapigana na Schwarz, na Wilder ndo kama hivi. So wote hawapigani na big names. Kuhusu AJ yeye ndo kajitahidi kupigana na big names kulinganisha na wengine, ila still anasita kumface FuryAJ amepigana na Dillian Whyte,Povetkin,Parker,Klitshko nk unaanzaje kumwambia anapigana na vibonde?