Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

Nalitamani Hili Pambano! Acha tu, Siku Moja Wakutane Kwenye Ringi
Wilder anakwepakwepa, dazn walimpa mkataba wa $100m akachomoa, eti anataka 50/50 na AJ kitu ambacho hakiwezekani
 
Namchukia huyu jamaa kwanza hana lolote kwenye ulingo wa boxing na anataka sifa tu.

Kwanza hana hadhi hata kidogo ya kupigana na joshua na naomba hilo pambano lisitokee duniani ..japo tunajua kwamba angepigana na joshua angechakazwa vibaya sana sbabu ya kidomodomo chake kama mwanamke wa mipasho ya uswahilini, the fact kwamba hata akipigwa bado atakua amepokea mpunga mrefu kupitia mgongo wa joshua na umaarufu pia .. kwaio bora aishie huko huko
 
Halafu umenichekesha ....eti bondia tishio..acha kushekesha watu wasio taka kucheka
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano lake litalochezwa jumapili alfajiri dhidi ya Dominic Breazeale, anasema anajaribu kwenye rekodi yake awepo mtu aliyemuua ulingoni, Boxing sio mchezo wa magentlemen na ni mchezo pekee ambao ukiua bado unalipwa 'ni sehemu ya mchezo, inakubalika', so kwanini asiitumie hiyo haki yake?[emoji1][emoji1][emoji1]. Ok let's wait n' see, ila namuhurumia Breazeale, amekaa kibrazameni sana, hakupaswa kuomba pambano na hili jambazi...

Deontay Wilder says he wants to "get me a body" on his record and kill an opponent, making a mockery of those who have died or been permanently injured through boxing.

Wilder, the World Boxing Council heavyweight world champion, is one of the hardest punchers in the sport. Only two of his 41 opponents have lasted to hear the final bell, while others have fallen concussed onto the canvas.

On Saturday, he defends his belt against Dominic Breazeale, a 33-year-old who has won three in a row since suffering the only defeat of his professional career, to the unified heavyweight champion, Anthony Joshua, in 2016.

Breazeale isn't likely to pose much of a threat to the unbeaten Wilder, and the champion even told the challenger earlier this year to "make some funeral arrangement."

On Wednesday, Wilder went one step further.

"His life is on the line for this fight, and I do mean his life," he said, according to The Telegraph.

"I am still trying to get me a body on my record. Dominic Breazeale asked for this. This is the only sport where you can kill a man and get paid for it at the same time. It's legal. So why not use my right to do so?"

Wilder's comments are certainly controversial, especially as boxing history is littered with the corpses of fighters who have died in the ring or shortly after competing.
 
Ni tishio ndio ndo maana yupo top3, na katika mapambano 40 aliyocheza 39 kashinda kwa KO na kudraw 1, je kwanini asiwe tishio? Na cha kuongeza hakuna bondia aliyepigana naye hajalamba sakafu, hata Fury aliyetoa draw alilamba sakafu mara2 na amegoma kucheza rematch[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Namchukia huyu jamaa kwanza hana lolote kwenye ulingo wa boxing na anataka sifa tu..

Kwanza hana hadhi hata kidogo ya kupigana na joshua na naomba hilo pambano lisitokee duniani ..japo tunajua kwamba angepigana na joshua angechakazwa vibaya sana sbabu ya kidomodomo chake kama mwanamke wa mipasho ya uswahilini, the fact kwamba hata akipigwa bado atakua amepokea mpunga mrefu kupitia mgongo wa joshua na umaarufu pia .. kwaio bora aishie huko huko
Kama Joshua anacheza na wa kina Ruiz kwanini useme Wilder hana hadhi ya kucheza naye? Na angekuwa hana hadhi Dazn wasingemtangazia dau la $100M kusign mkataba naye
 
Kwanini Ni Kitu ambacho hskiwezekani Mkuu? Hebu Fafanua Kidogo
Wilder anakwepakwepa, dazn walimpa mkataba wa $100m akachomoa, eti anataka 50/50 na AJ kitu ambacho hakiwezekani
 
Kwanini Ni Kitu ambacho hskiwezekani Mkuu? Hebu Fafanua Kidogo
AJ anamiliki mikanda mitatu mikubwa huku Wilder ana mkanda mmoja tu, kwa lugha ya ndondi tunasema AJ yuko A side, so hawawezi kuandaa pambano wakalipwa sawa, timu ya AJ hawawezi kukubali maana 'brand' yake ni kubwa zaidi. Tena walimpendelea wakamwambia malipo yawe 60/40 akachomoa, hii ni dalili ya Wilder kumuogopa AJ
 
Wilder anakwepakwepa, dazn walimpa mkataba wa $100m akachomoa, eti anataka 50/50 na AJ kitu ambacho hakiwezekani
Wilder anamuogopa AJ kishapewa mikataba mingi sana Tia saini tuzame ulingoni anakataaa.. anaogopa kuharibu record yake ya kutopigwa Mpaka sasa. Kwani anajua after AJ ni yeye ktk heavyweight kwa sasa japo kurudi kwa Fury kutawatikisa sana hawa miamba wawili, maana Fury katokea kukaa miaka mingi bila kupanda ulingoni na kapata draw na wilder, imagine akiwa fit? Japo alilambishwa sakafu mara kadhaa.. ngumi ya wilder acha kabisa [emoji1]
 
Sema Wilder anachonga sana akiwa kwenye media yeye ndo anamtuhumu AJ anamkimbia [emoji23][emoji23][emoji23], ila kiuhalisia yeye ndo anamdoji, ushahidi ni mikataba aliyogoma kusign kwa visingizio visivyo na maana.Sema AJ sio mtu wa maneno, he is always humble. Kuhusu Fury yes kaja kuwachallenge kweli, unajua Wilder alifikiri Fury mwepesi kwavile alikuwa nje ya ulingo mda mrefu na alikuwa na matatizo ya kiafya ndo maana aliomba kucheza naye, kumbe ikawa sivyo alivyomdhania[emoji3][emoji3], kwa skills alizonazo Fury hata AJ atapata naye tabu sana ni ngumu kumtouch, udhaifu wake ni kwamba hana punch kali kama hao wenzake
 
Lennox hajawahi mkwepa Tyson. Na walipopambana Tyson alukuona cha Mtema Kuni.
Umeambiwa alimkwepa akasubiria wakati mzee baba anamatatizo kibao na kiwango kimeshuka ndio akakubali kupigana nae na tyson akakubali kwa kuwa hakuwa na kitu
 
Kwahiyo Lennox kiwango hakishuki??? Tena Lennox ni mkubwa kuliko Tyson. Usije sema alisubiri Tyson azeeke

[emoji3][emoji3][emoji3]Mashabiki wa Tyson duniani kote ndio walivyo, too much excuses. Huwa hawaamini kwamba kuna bondia anayeweza kumzidi uwezo Tyson, kila alipopigwa walikuwa wakitafuta excuses, hata alipopigwa na Buster Douglas walisema aliingia ulingoni bila kufanya training (alikuwa anashinda kwenye strippers clubs)
 
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano lake litalochezwa jumapili alfajiri dhidi ya Dominic Breazeale, anasema anajaribu kwenye rekodi yake awepo mtu aliyemuua ulingoni, Boxing sio mchezo wa magentlemen na ni mchezo pekee ambao ukiua bado unalipwa 'ni sehemu ya mchezo, inakubalika', so kwanini asiitumie hiyo haki yake?[emoji1][emoji1][emoji1]. Ok let's wait n' see, ila namuhurumia Breazeale, amekaa kibrazameni sana, hakupaswa kuomba pambano na hili jambazi...

Deontay Wilder says he wants to "get me a body" on his record and kill an opponent, making a mockery of those who have died or been permanently injured through boxing.

Wilder, the World Boxing Council heavyweight world champion, is one of the hardest punchers in the sport. Only two of his 41 opponents have lasted to hear the final bell, while others have fallen concussed onto the canvas.

On Saturday, he defends his belt against Dominic Breazeale, a 33-year-old who has won three in a row since suffering the only defeat of his professional career, to the unified heavyweight champion, Anthony Joshua, in 2016.

Breazeale isn't likely to pose much of a threat to the unbeaten Wilder, and the champion even told the challenger earlier this year to "make some funeral arrangement."

On Wednesday, Wilder went one step further.

"His life is on the line for this fight, and I do mean his life," he said, according to The Telegraph.

"I am still trying to get me a body on my record. Dominic Breazeale asked for this. This is the only sport where you can kill a man and get paid for it at the same time. It's legal. So why not use my right to do so?"

Wilder's comments are certainly controversial, especially as boxing history is littered with the corpses of fighters who have died in the ring or shortly after competing.
Mkuu pengine humjui vizuri Breazeale ,jamaa ni moto wa kuotea mbali japo alipoteza pambano kwa AJ lakini alicheza vizuri sana.
 
Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde
AJ amepigana na Dillian Whyte,Povetkin,Parker,Klitshko nk unaanzaje kumwambia anapigana na vibonde?
 
Namaanisha ratiba zao zijazo wote wanapigana na majina ya kawaida, AJ anapigana na Ruiz, Whyte anapigana na Rivaz, Furry anapigana na Schwarz, na Wilder ndo kama hivi. So wote hawapigani na big names. Kuhusu AJ yeye ndo kajitahidi kupigana na big names kulinganisha na wengine, ila still anasita kumface Fury
 
Mkuu pengine humjui vizuri Breazeale ,jamaa ni moto wa kuotea mbali japo alipoteza pambano kwa AJ lakini alicheza vizuri sana.
Kwenye pambano la AJ alikuwa punching bag, ni mzuri ndio ila sio level za hawa top 3
 
Tayari Wilder kashakalisha mtu Round ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23], AJ hapo lazima kiroho kinamdunda, maana huyuhuyu alienda naye zaidi ya Round5[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom