Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

Hapa sasa nimezidi kuamini kwamba Fury si wa mchezo kuhandle ngumi za huyu jamaa. Na kidogo imenipa wasiwasi kuhusu uwezo wa AJ, maana alitumia Round7 kumdondosha huyu brazamen
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Man of his words
Your browser is not able to display this video.
 
Tayari Wilder kashakalisha mtu Round ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23], AJ hapo lazima kiroho kinamdunda, maana huyuhuyu alienda naye zaidi ya Round5[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jambazi ameshafanya yake.
 
Wilder kamdunda huyu jamaa round ya kwanza wakati AJ kamdunda huyuhuyu jamaa round za mwiiisho kabisa
 
Duuh...! Ila huyu amekaa kishoga shoga kweli amekaa kaa kama anakufa kufa hivi,bora ajitoe
Alishawakalisha watu kibao tu, sema hapa kwa Wilder ni maji marefu kwake, kipigo ilikuwa hakiepukiki
 
Alishawakalisha watu kibao tu, sema hapa kwa Wilder ni maji marefu kwake, kipigo ilikuwa hakiepukiki
Oooh...! Nae yuko fit? Ila kwa hilo njemba juu hapo,duuh...! Ameingia mkenge. Linaonekana ngumi jiwe
 
Tyson hajawahi kupigwa na Bruno
 
Tyson hajawahi pigwa na Bruno mzee
 
Alishawakalisha watu kibao tu, sema hapa kwa Wilder ni maji marefu kwake, kipigo ilikuwa hakiepukiki
Nimelichek pambano YouTube ila nimesikia Brail ikitajwa tajwa mara kwa mara na mtangazaji wa pambano.mara "they are feeling it in Brazil"

Brazil inahusianaje na hii kitu
 
Nimelichek pambano YouTube ila nimesikia Brail ikitajwa tajwa mara kwa mara na mtangazaji wa pambano.mara "they are feeling it in Brazil"

Brazil inahusianaje na hii kitu
'Breazeale' jina la huyu bondia aliyepigana na Wilder, sema ukitamka hilo jina linasound kama Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…