Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jambazi ameshafanya yake.Tayari Wilder kashakalisha mtu Round ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23], AJ hapo lazima kiroho kinamdunda, maana huyuhuyu alienda naye zaidi ya Round5[emoji1787][emoji1787]
Duuh...! Ila huyu amekaa kishoga shoga kweli amekaa kaa kama anakufa kufa hivi,bora ajitoe[emoji116]View attachment 1099791
Oooh...! Nae yuko fit? Ila kwa hilo njemba juu hapo,duuh...! Ameingia mkenge. Linaonekana ngumi jiweAlishawakalisha watu kibao tu, sema hapa kwa Wilder ni maji marefu kwake, kipigo ilikuwa hakiepukiki
Tyson hajawahi kupigwa na Bruno[emoji3][emoji3][emoji3]Mashabiki wa Tyson duniani kote ndio walivyo, too much excuses. Huwa hawaamini kwamba kuna bondia anayeweza kumzidi uwezo Tyson, kila alipopigwa walikuwa wakitafuta excuses, hata alipopigwa na Bruno walisema aliingia ulingoni bila kufanya training (alikuwa anashinda kwenye strippers clubs)
[emoji3][emoji3][emoji3]Mashabiki wa Tyson duniani kote ndio walivyo, too much excuses. Huwa hawaamini kwamba kuna bondia anayeweza kumzidi uwezo Tyson, kila alipopigwa walikuwa wakitafuta excuses, hata alipopigwa na Bruno walisema aliingia ulingoni bila kufanya training (alikuwa anashinda kwenye strippers clubs)
Nimelichek pambano YouTube ila nimesikia Brail ikitajwa tajwa mara kwa mara na mtangazaji wa pambano.mara "they are feeling it in Brazil"Alishawakalisha watu kibao tu, sema hapa kwa Wilder ni maji marefu kwake, kipigo ilikuwa hakiepukiki
'Breazeale' jina la huyu bondia aliyepigana na Wilder, sema ukitamka hilo jina linasound kama BrazilNimelichek pambano YouTube ila nimesikia Brail ikitajwa tajwa mara kwa mara na mtangazaji wa pambano.mara "they are feeling it in Brazil"
Brazil inahusianaje na hii kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimeumia sana nduguyangu kuchezea vile, ngoja nijifariji na tambo zake za zamani[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani, totally embarrassment [emoji21][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fuey kmlamba damu [emoji28][emoji28][emoji28]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuliandika humu huyo Wilder ni mbovu kwenye technique mkatuona wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app