Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Terrence Crawford jana amepost Insta,kwamba ukishinda kila mmoja atakuwa upande wako na atakupenda ila ukipoteza tu,jua umepoteza peke yako na kila mmoja atakataa kwamba yeye ni shabiki wako.
Mpinzani wake ni rojo rojo, wilder ana ngumi nzito sana ndio maana anaitwa bomber, size yake ni kina derrick chisora, Dylan wight, Anthony Joshua na kina Tyson furry
Mimi bado ni shabiki wake no1 ila juzi alizidiwa kiukweli, nimekubali defeat. Tusubiri tuone kama Wilder ataomba Trilogy maana ipo kwenye mkataba wake, ila bado naamini Wilder hakuwa sawa sikuileTerrence Crawford jana amepost Insta,kwamba ukishinda kila mmoja atakuwa upande wako na atakupenda ila ukipoteza tu,jua umepoteza peke yako na kila mmoja atakataa kwamba yeye ni shabiki wako.
Ameshafukuza kocha eti kwanini alitupa taulo , anaamini alikuwa bado fresh kuendelea na game.Mimi bado ni shabiki wake no1 ila juzi alizidiwa kiukweli, nimekubali defeat. Tusubiri tuone kama Wilder ataomba Trilogy maana ipo kwenye mkataba wake, ila bado naamini Wilder hakuwa sawa sikuile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshaomba tayari.Mimi bado ni shabiki wake no1 ila juzi alizidiwa kiukweli, nimekubali defeat. Tusubiri tuone kama Wilder ataomba Trilogy maana ipo kwenye mkataba wake, ila bado naamini Wilder hakuwa sawa sikuile
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua hili lazima litatokea baada ya kuona reaction yake sikuile, lakini kwa upande wangu naona kocha alikuwa sahihi kabisa na anampenda, alikuwa anaangalia usalama wa maisha yake na sio pesa. Atajuta baadae kama amefanya hivyo, amefanya maamuzi ya hasiraAmeshafukuza kocha eti kwanini alitupa taulo , anaamini alikuwa bado fresh kuendelea na game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Fury akipigwa ataomba tena rematch [emoji3][emoji3], hapo tutasubiri sana kuona unification fight #undisputedAmeshaomba tayari.
Hatutaki rematch Tena , Next Stop Ni AJ ...Na Fury akipigwa ataomba tena rematch [emoji3][emoji3], hapo tutasubiri sana kuona unification fight
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder ametoa sababu za kijinga sana za kupoteza pambano.Na Fury akipigwa ataomba tena rematch [emoji3][emoji3], hapo tutasubiri sana kuona unification fight #undisputed
Sent using Jamii Forums mobile app
It's too late kumbadilisha Wilder at 34 yrs, aendelee tu kustick na kile anachokiweza zaidi, kumfukuza kocha ni maamuzi ya hasiraWilder ametoa sababu za kijinga sana za kupoteza pambano.
Kuhusu kumfukuza kocha wake yupo sahihi sana, kocha alishindwa kumbadilisha Wilder,staili ya kupigana ya Wilder ilikuwa ni ile ile kwa mapambano yake yote hivyo inakuwa rahisi kwa mpinzani wake kumsoma kwa uwepesi na kujua mapungufu yake.
Mzee hujui maana ya mkataba? Wilder akitaka rematch hamna namna lazima tu mkubali lasivyo tunaenda mahakamani, tunataka mkanda wetu by July [emoji3][emoji3][emoji3][emoji378][emoji378][emoji378]Hatutaki rematch Tena , Next Stop Ni AJ ...
Huyo Mmarekani Atafute Pambano lingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Mzee hujui maana ya mkataba? Wilder akitaka rematch hamna namna lazima tu mkubali lasivyo tunaenda mahakamani, tunataka mkanda wetu by July [emoji3][emoji3][emoji3][emoji378][emoji378][emoji378]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa mkao wa kula, trilogy tunaifanyia pale OT n' tunarudi US na greenbelt yetu
Walau sasa wanapigana kuliko mwanzo,Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde