Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

Huu mchezo ni wa taming pamoja na maneno yake hayo anaweza kuchezea za uso asiamni nn kimetokea mmoja.lejea pambano la Kwanza la Joshua na kibonge watu wengi waliamini pambano lile no jepesi kwa joshua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terrence Crawford jana amepost Insta,kwamba ukishinda kila mmoja atakuwa upande wako na atakupenda ila ukipoteza tu,jua umepoteza peke yako na kila mmoja atakataa kwamba yeye ni shabiki wako.
Mimi bado ni shabiki wake no1 ila juzi alizidiwa kiukweli, nimekubali defeat. Tusubiri tuone kama Wilder ataomba Trilogy maana ipo kwenye mkataba wake, ila bado naamini Wilder hakuwa sawa sikuile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado ni shabiki wake no1 ila juzi alizidiwa kiukweli, nimekubali defeat. Tusubiri tuone kama Wilder ataomba Trilogy maana ipo kwenye mkataba wake, ila bado naamini Wilder hakuwa sawa sikuile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshafukuza kocha eti kwanini alitupa taulo , anaamini alikuwa bado fresh kuendelea na game.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshafukuza kocha eti kwanini alitupa taulo , anaamini alikuwa bado fresh kuendelea na game.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua hili lazima litatokea baada ya kuona reaction yake sikuile, lakini kwa upande wangu naona kocha alikuwa sahihi kabisa na anampenda, alikuwa anaangalia usalama wa maisha yake na sio pesa. Atajuta baadae kama amefanya hivyo, amefanya maamuzi ya hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Fury akipigwa ataomba tena rematch [emoji3][emoji3], hapo tutasubiri sana kuona unification fight #undisputed

Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder ametoa sababu za kijinga sana za kupoteza pambano.

Kuhusu kumfukuza kocha wake yupo sahihi sana, kocha alishindwa kumbadilisha Wilder,staili ya kupigana ya Wilder ilikuwa ni ile ile kwa mapambano yake yote hivyo inakuwa rahisi kwa mpinzani wake kumsoma kwa uwepesi na kujua mapungufu yake.
 
It's too late kumbadilisha Wilder at 34 yrs, aendelee tu kustick na kile anachokiweza zaidi, kumfukuza kocha ni maamuzi ya hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Basi jiandaen kuzika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa mkao wa kula, trilogy tunaifanyia pale OT n' tunarudi US na greenbelt yetu
Screenshot_20200225-180245_1582644495457.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde
Walau sasa wanapigana kuliko mwanzo,

Wanafanya hivi ili kutengeneza Biashara na rekodi!

Ukiweka mapambano hayo leo kesho utaweka mapambano gani ili ufanye Biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom