Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

Deontay Wilder 'Nataka maiti iwe kwenye rekodi yangu'

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano lake litalochezwa jumapili alfajiri dhidi ya Dominic Breazeale, anasema anajaribu kwenye rekodi yake awepo mtu aliyemuua ulingoni, Boxing sio mchezo wa magentlemen na ni mchezo pekee ambao ukiua bado unalipwa 'ni sehemu ya mchezo, inakubalika', so kwanini asiitumie hiyo haki yake?[emoji1][emoji1][emoji1]. Ok let's wait n' see, ila namuhurumia Breazeale, amekaa kibrazameni sana, hakupaswa kuomba pambano na hili jambazi...

Deontay Wilder says he wants to "get me a body" on his record and kill an opponent, making a mockery of those who have died or been permanently injured through boxing.

Wilder, the World Boxing Council heavyweight world champion, is one of the hardest punchers in the sport. Only two of his 41 opponents have lasted to hear the final bell, while others have fallen concussed onto the canvas.

On Saturday, he defends his belt against Dominic Breazeale, a 33-year-old who has won three in a row since suffering the only defeat of his professional career, to the unified heavyweight champion, Anthony Joshua, in 2016.

Breazeale isn't likely to pose much of a threat to the unbeaten Wilder, and the champion even told the challenger earlier this year to "make some funeral arrangement."

On Wednesday, Wilder went one step further.

"His life is on the line for this fight, and I do mean his life," he said, according to The Telegraph.

"I am still trying to get me a body on my record. Dominic Breazeale asked for this. This is the only sport where you can kill a man and get paid for it at the same time. It's legal. So why not use my right to do so?"

Wilder's comments are certainly controversial, especially as boxing history is littered with the corpses of fighters who have died in the ring or shortly after competing.
 
Attachments

  • deontay-wilder (16)_6.jpeg
    deontay-wilder (16)_6.jpeg
    33.7 KB · Views: 53
  • deontay-wilder%20(16)_6.jpeg
    deontay-wilder%20(16)_6.jpeg
    33.7 KB · Views: 48
Picha ya mpinzani nayo ungeweka mkuu
 
Mpinzani wake ni rojo rojo, wilder ana ngumi nzito sana ndio maana anaitwa bomber, size yake ni kina derrick chisora, Dylan wight, Anthony Joshua na kina Tyson furry
 
Mpinzani wake ni rojo rojo, wilder ana ngumi nzito sana ndio maana anaitwa bomber, size yake ni kina derrick chisora, Dylan wight, Anthony Joshua na kina Tyson furry
Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde
 
Lakini hata zamani hizo politics zilikuwepo. Unajua Lennox Lewis alikuwa anamkwepa Tyson na alikubali kupigana nae kipindi Tyson akiwa kwenye stress za madeni na kulazimika kupigana ili apate fedha na si kiushindani?
 
MTAZAMO, Kweli, sema sahivi zimezidi, kila top boxer anataka kuwa na perfect record kama ya Mayweather. Zamani kila top boxer 'heavyweight' lazima amalize career na loss kadhaa but still unapewa heshima zote i.e Muhammad Ally ambae ana loss 6, sahivi ukiloose kwisha habari yako.

Juzi kuna boxer mmoja anaitwa JRocky baada ya ushindi alilalamika kwamba boxing ndo mchezo pekee ambao ukiloose mara1 then u're done, ndo maana wakali sikuhizi wanalindwa sana hawataki kuchafua rekodi
 
Mkuu kaangalie pambano la chisora na Dylan uje tena, the fella is doing great, heavy punch n better skills though aliloose
Chisora mtoe hapo, hao wengine yes. Sema boxing ya sasa imevamiwa na siasa, top dogs wanachagua wa kupigana nao ili kulinda rekodi, ndo maana ni ngumu kupata mapambano ya AJ,Wilder,Fury,Whyte. Wote wana ratiba ya kupigana na vibonde
 
Mkuu kaangalie pambano la chisora na Dylan uje tena, the fella is doing great, heavy punch n better skills though aliloose
Ni bondia mzuri ndio ila huwezi kumuweka hata top 10, maana katika mapambano 30 aliyocheza ana 9 losses. Huyo Dominic anayepigana kesho na Wilder yuko juu yake kwenye ranking, ana only one loss from AJ kama ilivyo kwa Whyte
Screenshot_20190517-173803.jpeg
Screenshot_20190517-174127.jpeg
 
Lakini hata zamani hizo politics zilikuwepo. Unajua Lennox Lewis alikuwa anamkwepa Tyson na alikubali kupigana nae kipindi Tyson akiwa kwenye stress za madeni na kulazimika kupigana ili apate fedha na si kiushindani?
Lennox hajawahi mkwepa Tyson. Na walipopambana Tyson alukuona cha Mtema Kuni.
 
Huyo mpinzani wake atachezea vitasa sana

Ova
 
Wilder namkubali sana kwa style yake ya counter punch... ataspend muda wote kutafuta chance ya kudeliver one heavy punch which will send somebody to hell ila hana defence nzuri akikutana na mtu kama AJ anakaa fasta tu lkn breezele hana nafas kubwa ya kushinda hili pambano
Cha muhim ni kusubir tushuhudie
 
Nalitamani Hili Pambano! Acha tu, Siku Moja Wakutane Kwenye Ringi
 
Canelo yupo juu pamoja na kupigwa na Floyd. Bado Paquaio yupo kwenye chat pamoja na kuchezea vitasa mara kadhaa
Kweli, hao wana damu nzuri. wengine wakipoteza kidogo tu kwisha habari yao, mfano Kell Brook,Amir Khan,Joe Parker,...
 
Wilder namkubali sana kwa style yake ya counter punch... ataspend muda wote kutafuta chance ya kudeliver one heavy punch which will send somebody to hell ila hana defence nzuri akikutana na mtu kama AJ anakaa fasta tu lkn breezele hana nafas kubwa ya kushinda hili pambano
Cha muhim ni kusubir tushuhudie
Wengi hawaipendi hii style yake 'windmill punch', wanamponda sana kwamba ni bondia mwenye zero skills, ana silaha moja tu 'big right hand', sema hiyohiyo ndo inawakalisha
 
Back
Top Bottom