muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Naona kama Fury amefanya kosa la Ruiz Jr la kuongezeka uzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae Fury ameshinda kwa KO wazee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari sanaWilder namkubali mzee wa KO! Ana mabiti anakwambia we jiandae kwa mazoezi ya round zote mimi najiandaa kwa dk chache za mwanzo tu namaliza biashara naondoka!
Kwa wale wapenzi wa masumbwi naomba kuulizia kama mpambano wa hao mahasimu utaonyeshwa live, na kama ndio ni kwenye king'amuzi kipi? Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Deontay Wilder ni Habari nyingine. its all about the Puncher and the Fighter huyo Black ndio Puncher and Ngumi hatari sana
Kwa nini Anthony Joshua anamuogopa wilder? Hiyo ndio fight naisubiri. Huyo fury sio mpigani ni mkwepaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fury will outbox Wilder.. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see
Umetisha Sana bossFury will outbox Wilder.. Kwa uhakika, Wilder wala sio boxer mzuri, hajui kukwepa ngumi, hajui kupigana from inside, yeye anategemea kurusha right hand as a power puncher, hana kingine na boxing skills zake ndogo sana. Mtashagaa ingawa Fury sio mzuri sana but atampiga Wilder kilaini na kuweka history in the world of boxing. Wait and see
Mwambien awe anajiandaa kwa round zote atafia UwanjaniWilder namkubali mzee wa KO! Ana mabiti anakwambia we jiandae kwa mazoezi ya round zote mimi najiandaa kwa dk chache za mwanzo tu namaliza biashara naondoka!