Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Canal+1 na hbo wanaonyesha. cable ina channel zote ila ndo kuifuataSijasikia kama DSTV wataonyesha, ila kama wanaonyesha game itakuwa asubuhi kama saa 12 au 1.
Maana wanachezea Marekani, na masaa yao ya boxing huwa hayo.
BBC wanasema itaanza 4:00 GMT, ambapo + 3 unapata 7:00 am.