Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ilikua inaonyesha! ila ubora wa hizi links inategemea na Broser unayotumia!Link Haiyonyeshi Kitu
Umesomeka, Haya Tutupie Ma Updatesmkuu ilikua inaonyesha! ila ubora wa hizi links inategemea na Broser unayotumia! View attachment 952960
Ulitumia browser gan??mkuu ilikua inaonyesha! ila ubora wa hizi links inategemea na Broser unayotumia! View attachment 952960
Puffin, pia brave ilikua inaonyesha! kama ulitumia UC browser au operamini itakua ilikusumbuaUlitumia browser gan??
DrooUmesomeka, Haya Tutupie Ma Updates
Kama ile ya wether na PacquiaoAaah wala hata sihangaiki kusubilia bora nije niangalie marudio tu,maana unaweza subiria ukakuta fight mbovu watu wanakumbatiana tu
True manake makelele kibao efficiency zeroHawa Wote Wawili, Wanakaa Kwa Mnyama AJ
Huyu wilder kashindwa hata kumkalisha mvuta madawa ya kulevya Tyson fury fake atamudu kweli kwa yule mpopo mwenye ngumi jiwe?Huyo Wilder ndio watu walikuwa wana msifia eti anaweza kumpiga AJ hahahahahahahahaha
Nilitumia chrome imenizingua.Puffin, pia brave ilikua inaonyesha! kama ulitumia UC browser au operamini itakua ilikusumbua
Sikweli mkuu,Fury hawez mpiga Wilder aisee
Wakubaliane mapema angalau hadi june 2019 tuone AJ vs Wilder.Huyo Wilder ndio watu walikuwa wana msifia eti anaweza kumpiga AJ hahahahahahahahaha
Pambano ni droo mkuu.Wilder ameshinda?😂😂
Ngoja tusibiri mtwangano mkuu.
Wakubaliane mapema angalau hadi june 2019 tuone AJ vs Wilder.
Wilder mkono wake wa kulia ni hatar sema pumz inakata mapema akienda raund nyingi
Pambano ni droo mkuu.
Hakuna mshindi na Wilder ame retain his WBC title
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wilder ameshinda?[emoji23][emoji23]