Deontay Wilder Vs Tyson Fury.......wazee wa ngumi jiwe.

Deontay Wilder Vs Tyson Fury.......wazee wa ngumi jiwe.

Link Haiyonyeshi Kitu
mkuu ilikua inaonyesha! ila ubora wa hizi links inategemea na Broser unayotumia!
Screenshot_20181202-085112.jpeg
 
Matambo Yote Yale, Amedraw, BUMBAVU (In Hajji Manara's Voice)
 
Huyo Wilder ndio watu walikuwa wana msifia eti anaweza kumpiga AJ hahahahahahahahaha
 
Huyo Wilder ndio watu walikuwa wana msifia eti anaweza kumpiga AJ hahahahahahahahaha
Huyu wilder kashindwa hata kumkalisha mvuta madawa ya kulevya Tyson fury fake atamudu kweli kwa yule mpopo mwenye ngumi jiwe?
 
Puffin, pia brave ilikua inaonyesha! kama ulitumia UC browser au operamini itakua ilikusumbua
Nilitumia chrome imenizingua.
Nilikuwa nafuatilia through live texts.
Tyson Fury amejitahid sana.
Miaka miwili na nusu nje ya box lakin ameweza kwenda droo na Wilder
 
Huyo Wilder ndio watu walikuwa wana msifia eti anaweza kumpiga AJ hahahahahahahahaha
Wakubaliane mapema angalau hadi june 2019 tuone AJ vs Wilder.

Wilder mkono wake wa kulia ni hatar sema pumz inakata mapema akienda raund nyingi
 
Back
Top Bottom