Canal+1 na hbo wanaonyesha. cable ina channel zote ila ndo kuifuataSijasikia kama DSTV wataonyesha, ila kama wanaonyesha game itakuwa asubuhi kama saa 12 au 1.
Maana wanachezea Marekani, na masaa yao ya boxing huwa hayo.
BBC wanasema itaanza 4:00 GMT, ambapo + 3 unapata 7:00 am.
Canal+1 na hbo wanaonyesha. cable ina channel zote ila ndo kuifuata
Siyo saa 11? Naona muda wao ni 9 PM ETGame itaanza saa moja asubuhi, siyo muda mbaya.
Siyo saa 11? Naona muda wao ni 9 PM ET
Sijasikia kama DSTV wataonyesha, ila kama wanaonyesha game itakuwa asubuhi kama saa 12 au 1.
Maana wanachezea Marekani, na masaa yao ya boxing huwa hayo.
BBC wanasema itaanza 4:00 GMT, ambapo + 3 unapata 7:00 am.
Tubeti nawewBila figisu figisu huyo wilder lazima alambe sakafu maana anaongea sana....team fury
Game inapigwa marekani, Wilder lazima abebwe kama mayweather..
Mmeanza kujiteteaGame inapigwa marekani, Wilder lazima abebwe kama mayweather..
Sikweli mkuu,Fury hawez mpiga Wilder aiseeGame inapigwa marekani, Wilder lazima abebwe kama mayweather..
Ngoja tusibiri mtwangano mkuu.Sikweli mkuu,Fury hawez mpiga Wilder aisee
Link Haiyonyeshi KituLink hiyo mnaweza kuchek online
http://www.usagoals.nu/c/boxing/2840850/2/deontay-wilder-vs-tyson-fury-live-stream/
Ngoma imeisha sare. Pambano la hovyo kabisa.