Deontay Wilder Vs Tyson Fury.......wazee wa ngumi jiwe.

Nililiona Hili Kabla Ya Pambano, Amezoea Kumaliza Mchezo Mapema, Akikutana Na Mtu Mjanja Mjanja, Raund Zikaenda Nyingi, Anakua Ulimi Nje
Wakubaliane mapema angalau hadi june 2019 tuone AJ vs Wilder.

Wilder mkono wake wa kulia ni hatar sema pumz inakata mapema akienda raund nyingi
 
Baada ya kuangalia pambano la jana nimeona wilder na fury hamna anayeweza kumpiga AJ
 
Baada ya kuangalia pambano la jana nimeona wilder na fury hamna anayeweza kumpiga AJ
Mpe Fury heshima yake.
Hata wakipigana na AJ nna hakika AJ atapata shida kuendana na style ya Tyson.

Tusubirie kwanza AJ Vs WILDER then kitakachofuata ni Tyson Vs AJ.
 
Mpe Fury heshima yake.
Hata wakipigana na AJ nna hakika AJ atapata shida kuendana na style ya Tyson.

Tusubirie kwanza AJ Vs WILDER then kitakachofuata ni Tyson Vs AJ.

Wilder hawezi kumpiga AJ bado sn maneno mengi sn lkn kiwango chake cha kawaida
 
Mpe Fury heshima yake.
Hata wakipigana na AJ nna hakika AJ atapata shida kuendana na style ya Tyson.

Tusubirie kwanza AJ Vs WILDER then kitakachofuata ni Tyson Vs AJ.

Kuna rematch iko under plan, nadhani itaanza hiyo kabla ya kumwaza AJ.

Boxing sasa hivi imekuwa business, watu wanachagua wa kupigana nao ili asiharibu brand, ndo maana unaona eti Wilder, Fury, AJ wote ni unbeaten, swali linakuja kwamba wanapigana na kina nani?

Na back then ukishakuwa ni Heavyweight ilikuwa hakuna kukimbia pambano kama wanavyofanya siku hizi.
 
Haya Tuleteeni Bishoo wenu A.J
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nilikuwa namdharau Fury ila kwa hili pambano nimemkubali, yuko very skillfull compared to Wilder anayetegemea 'ngumi jiwe' tu, akipata mtu mwenye skills kama za Furry kukwepa makonde anapata tabu sana, all in all hili pambano limetupa mwanga kwamba hawa wote hawachomoki kwa AJ
 
Deontay Wilder v Tyson Fury official fight highlights

Deontay Wilder v Tyson Fury was a fight for the ages and will surely be voted fight of the year by fans and experts alike. From the controversial result to the stunning Wilder knockdown to Fury's hilarious showboating, this was a fight we'll never forget...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…