Depal; happy birthday' kwako mrembo

Benaya-

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
4,415
Reaction score
7,631
Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa.
Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda kukutakia baraka tele, mafanikio, furaha na upendo katika maiaha yako. Ni maombi yangu kwa Mungu akubariki kwa kila kazi na Neema zake Mungu zikufunike siku zote za maisha yako..Amen

Karibuni familia ya jf tumtakie Depal
Baraka na heri katika siku hii muhimu kwake

Mshana Jr
Joanah


Depal usisahau kuweka na ya wakala hapa utumiwe keki na wine [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Happybirday Depal mpole wa jamiiforums...

Mwenyezi Mungu akupe mahitaji ya moyo wako bila kusahau kukupa mapacha wa kufanana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…