Pole.una mpenzi?Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.
Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Pole sana Yedidiahh.Tangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.
Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Nini source ya shida hiyo mkuuTangu 2019 mpaka sasa nasumbuka na msongo mkali wa mawazo, uoga ulipitiliza, panic attack, yaani nimekuwa kama mfu anaetembea, nilienda hospitali ya Mount Meru Arusha wakaniambia ni psychosis, wakanipa Haloperidol na Benzylhexol nikaanza kutumia ila zilinisaidia kwa wiki chache baada ya hapo hali ikawa mbaya zaidi ya mwanzo na nikawa nikitumia kichwa kinakuwa chepesi kupita kiasi kama nimelewa.
Nikaamua kuacha zile dawa kwa sasa naona sina muda mrefu wa kuishi, imechoka sana
Swali zuri sana🙏🙏🙏Pole.una mpenzi?
Heshima Yako mkuu🙏🙏Weka namba yako ya simu au E-mail then nitakupigia simu na kukutafutia wataalamu Kwa gharama zangu mwenyewe .
Usjiue mkuu.