Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Pole sana rafikiDepression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
Huna depression,sema huna helaDepression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
Bila shaka hata wewe utakuwa na depression, sio bure kumnanga mtu aliyeomba ushauri juu ya magumu anayo pitia.Kama yeye ndiye mwenye maamuzi ya kusema ama la basi afanye na maamuzi yake yakuimaliza hiyo depression yake,tusichoshane bure hapa.
Wewe utakua mpumbavu sio bure,Bila shaka hata wewe utakuwa na depression, sio bure kumnanga mtu aliyeomba ushauri juu ya magumu anayo pitia.
Ndio maana kumbe unapenda sana kusahihisha nyuzi za watu wakikosea kuandika vizuriTafuta mtu umwambie hata kichwa cha habari upate nafuu
Tupo wote ila nashkuru mchumba ni mtu na nusu hata hanichoki
Tukiwa tunacheka humu watu wanajua tupo sawa ila live tuna matatizo yanayotutesa.
HahahahahaHuna depression,sema huna hela
Kutumia lugha ya matusi ina thibitisha kabisa upo katika hali ya depression, ni jambo la mpito na ipo siku utakuwa sawa pia.Wewe utakua mpumbavu sio bure,
Huwezi kutoa ushauri wa kudeal na tatizo ikiwa hata tatizo lenyewe hulijui,
Mbona unakaza fuvu kijinga kiasi hicho?
Napunguza machungu mkuuNdio maana kumbe unapenda sana kusahihisha nyuzi za watu wakikosea kuandika vizuri
Poleee dada yangu usiwaze sana control your mind life is short stop worrying now kuwa karibu na mtu usiogope dada yangu piga zoezi kunywa maji mengi yatapita dada yanguDepression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
Usijali ephen_ utakuwa sawa tu,,,kuanzia sasa nikiona mtu kachapia tu ntakuita ujisikie vizur πππNapunguza machungu mkuu
Nisamehe bure
Wewe sema unajipendekeza kwa mleta mada huna lolote,ulivyotumia wewe lugha ya matusi kwangu ulifikiri ningekuacha sio?Kutumia lugha ya matusi ina thibitisha kabisa upo katika hali ya depression, ni jambo la mpito na ipo siku utakuwa sawa pia.