Depression inaniua

Depression inaniua

Usaidizi wa kitaalamu ni muhimu sana, lakini pia kuna mambo ambayo unaweza kufanya kila siku ili kukusaidia kupona. Kama mabadiliko ya mtindo wa maisha pia tafuta usaidizi wa tiba ya kisaikolojia ni matibabu muhimu kwa Depression
@ Mbathane Robertus, counseling psychologist
 
NGUVU YA FIKRA..
Unahitaji msaada wa ushauli natatizo lako nila kisaikolojia.
Tuma maombi yakujiunga ndani ya group zangu kwanamba iliopo hapo utapata msaada wa moja kwamoja.
Polesana.
 

Attachments

  • IMG_20240510_093724_377.JPG
    IMG_20240510_093724_377.JPG
    116.9 KB · Views: 4
Kutumia lugha ya matusi ina thibitisha kabisa upo katika hali ya depression, ni jambo la mpito na ipo siku utakuwa sawa pia.
Wewe sema unajipendekeza kwa mleta mada huna lolote,ulivyotumia wewe lugha ya matusi kwangu ulifikiri ningekuacha sio?

Acha kujipendekeza,unaweza kukuta mleta mada wala hana hata hiyo Depression ila anatafuta attention tu,cheap papularity,

Huwezi kua na tatizo kisha ukataka msaada huku ukiwa hutaki kutaja tatizo lenyewe,
Hebu muulize mleta mada hili swali,

Lengo la yeye kuweka huu uzi ni lipi hasa?
 
Back
Top Bottom