Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kazi kweli kweli ๐Image mtu umetoa namba ila mtu anawaza mwingine ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweli ๐Image mtu umetoa namba ila mtu anawaza mwingine ๐๐๐๐
Wataalam wanasema kulia ni dawa ya Depression....Endelea kuliaSasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
๐คฃ๐คฃ๐คฃUkimaliza kulia ,useme kama utajisikia. Acha tufanye mengine.
Otherwise lia huku unaongea, muda mchache mambo mengi
KaUnalia mbaka sahivi
Depression kills , fungua PM tukuelekeze namna ya kupata wataalamu wa afya ya akili wakusaidie kabla haijawa too late.Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
Soma vzuri utaelewa dearLovelovie unapitia kitu kinaitwa wanaume wa jf umiza ubongo. Hawajui wanataka nini kila daily wanakuaminisha humu kuna ndoa ila humu hakuna ndoa . Ila hawasemi wengi ni mariooo tu nawanakupiga na vitu vizito hadi unazima kimaukweli ushauri wangu kunywa maji mengi anza na kusali muombe Mungu msamaha umrudie yeye anaweza na anajua unapitia nini msirikishe ita roho mtakatifu akusaidie uweze kupata njia ile sahihi kwako atakuja wakwako hatojali wewe ni single mom .Good day usimshirikushe mtu wewe loa ba Mungu wako anatosha abafariji kuliko mtu yeyote.