Depression is real

Sio kwamba ameikalia tu, kuna wengine wanapitia hali ngumu sio kwamba hawataki kulipa. Mfano mimi kuna mtu nimemkopesha sasa yapata zaidi ya miezi miwili yupo kitandani hajiwezi, huyo utasema ameikalia hela tu?
 
Wanasema """Usidhani kila mtu atakuwa na moyo kama wako. Utaishia kuvunjika moyo kutegemea kutendewa wema kama unavyowatendea wengine""
Ndio maana wanaishia kujinyonga halafu mwamba hana habari hata kwenye mazishi haji maana yupo na mchepuko mwingine
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana[emoji174][emoji30]
Dawa ya depression ni karafuu Tu Nilikuwa nimepigwa na upambavu kuna siku nilitaka kujiua akili ilikuwa Imechanganikiwa
mapigo ya moyo kwenda mbio

Dawa nilitumia karafuu kusaga na kutengeneza chai nikiwa na kunwa asubuhi na mchana baada ya siku kazaa hali ile ilipotea yenyewe mpaka sasa hivi nina miaka 3 sijawahi kuumwa ugonjwa huo wa saikolojia
 
Yaaan ingekua kwisha habari yakoπŸ€“πŸ€“
 
Mleta uzi amepigwa na heavy object kichwani
Your browser is not able to display this video.
 
Ungetueleza nini shida ili tukushauri nini cha kufanya hasa, but now kila mtu ataku-judge kwa upande wake depending on his/her feelings kwasababu hujawa specific.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…