Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Jf expected members ni wa kuwaogopa sana mkuuDaaah! Watu wanacheza na fursa mwanawane 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf expected members ni wa kuwaogopa sana mkuuDaaah! Watu wanacheza na fursa mwanawane 😀😀
Sio kwamba ameikalia tu, kuna wengine wanapitia hali ngumu sio kwamba hawataki kulipa. Mfano mimi kuna mtu nimemkopesha sasa yapata zaidi ya miezi miwili yupo kitandani hajiwezi, huyo utasema ameikalia hela tu?Na Mimi pia nipo kwenye list na hio depression inajengwa na wanaotuzunguka, mfano mtu unamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depression
Ndio maana wanaishia kujinyonga halafu mwamba hana habari hata kwenye mazishi haji maana yupo na mchepuko mwingineWanasema """Usidhani kila mtu atakuwa na moyo kama wako. Utaishia kuvunjika moyo kutegemea kutendewa wema kama unavyowatendea wengine""
Ninachojua, yeyote mwenye jina la kike, ni mwanamke.N mrembo?
Sasa itakuaje na mrembo ako na depression?Ninachojua, yeyote mwenye jina la kike, ni mwanamke.
Hayo mengine siyajui 😅😅😅
Shida sana..Ndio maana wanaishia kujinyonga halafu mwamba hana habari hata kwenye mazishi haji maana yupo na mchepuko mwingine
Na mwanamke sifa yake kubwa ni MZURI/MREMBO, sa muite mwanaume hivyo uone!!!yeyote mwenye jina la kike, ni mwanamke.
Depression Ina run kwa brain, na sio uso wala mwili 😅Sasa itakuaje na mrembo ako na depression?
Hata kwa sisi poor brain depression inaweza ku runDepression Ina run kwa brain, na sio uso wala mwili 😅
Hiyo ndio changamoto anyway afike pm nione nitamsaidiaje kuondokana na hali hiyo. I am dokta depression rimuvaDepression Ina run kwa brain, na sio uso wala mwili 😅
Dawa ya depression ni karafuu Tu Nilikuwa nimepigwa na upambavu kuna siku nilitaka kujiua akili ilikuwa ImechanganikiwaAfya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana[emoji174][emoji30]
Yaaan ingekua kwisha habari yako🤓🤓Dawa ya depression ni karafuu Tu Nilikuwa nimepigwa na upambavu kuna siku nilitaka kujiua akili ilikuwa Imechanganikiwa
mapigo ya moyo kwenda mbio
Dawa nilitumia karafuu kusaga na kutengeneza chai nikiwa na kunwa asubuhi na mchana baada ya siku kazaa hali ile ilipotea yenyewe mpaka sasa hivi nina miaka 3 sijawahi kuumwa ugonjwa huo wa saikolojia
Umeelewa kilicho andikwa uncle?We wakiume kaza kiume kama simba
Nyinyi hamna shda hta kwenye jaba mnakaaKwahiyo sisi wa miaka 17 unatuweka wapi
Ni mapenzi tuuu🤓🤓🤓Ungetueleza nini shida ili tukushauri nini cha kufanya hasa, but now kila mtu ataku-judge kwa upande wake depending on his/her feelings kwasababu hujawa specific.
Kaachwa....👆Kulikoni tena!