Depression is real

Depression is real

Na Mimi pia nipo kwenye list na hio depression inajengwa na wanaotuzunguka, mfano mtu unamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depression
Sio kwamba ameikalia tu, kuna wengine wanapitia hali ngumu sio kwamba hawataki kulipa. Mfano mimi kuna mtu nimemkopesha sasa yapata zaidi ya miezi miwili yupo kitandani hajiwezi, huyo utasema ameikalia hela tu?
 
Wanasema """Usidhani kila mtu atakuwa na moyo kama wako. Utaishia kuvunjika moyo kutegemea kutendewa wema kama unavyowatendea wengine""
Ndio maana wanaishia kujinyonga halafu mwamba hana habari hata kwenye mazishi haji maana yupo na mchepuko mwingine
 
Afya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana[emoji174][emoji30]
Dawa ya depression ni karafuu Tu Nilikuwa nimepigwa na upambavu kuna siku nilitaka kujiua akili ilikuwa Imechanganikiwa
mapigo ya moyo kwenda mbio

Dawa nilitumia karafuu kusaga na kutengeneza chai nikiwa na kunwa asubuhi na mchana baada ya siku kazaa hali ile ilipotea yenyewe mpaka sasa hivi nina miaka 3 sijawahi kuumwa ugonjwa huo wa saikolojia
 
Yaaan ingekua kwisha habari yako🤓🤓
 
Mleta uzi amepigwa na heavy object kichwani
 
Ungetueleza nini shida ili tukushauri nini cha kufanya hasa, but now kila mtu ataku-judge kwa upande wake depending on his/her feelings kwasababu hujawa specific.
 
Back
Top Bottom