Depression Itaniua

Depression Itaniua

Piga moyo konde usikate tamaa..Kuna ndugu wengine Wana shida kuliko zidi kumwomba MUNGU ukiamini anakusikia na ataitika.
 
Kuna mtu nimeongea nae ana ufahamu kdogo na mambo ya mikopo amesema ni kweli kama aliacha kazi mwenyewe deni anaondoka nalo na inabidi alilipe.

Ila kuuzwa nyumba yake sio rahisi watamsumbua tu alipe kdogo kdogo mpaka amalize.

Kama haya ni ya kweli nikushauri achana na kuuza nyumba endelea kupambana kiume. Ipo siku mambo yataanza kurudi kwenye mstari.
 
Habari za leo wana GT.

Niende kwenye hoja ya msingi.
Kwa utambulisho huu mimi si mgeni humu ila ID nliyotumia ni mpya niliona nifungue hii ili nisiwezekujulikana na wanaoifahamu ID yangu iliyozoeleka hasa mke wangu.

Kwa hakika hapa nilipo nina msongo wa mawazo unanisumbua na ninahisi ninapoelekea sio pazuri, Miaka mitano nyuma nilichukua mkopo kwenye bank moja hivi hapa nchini. Huu mkopo nilichukua kwa udhamini wa mshahara wangu wa kipindi kile.

Kuna jambo lilitokea ofisini hivyo ilinibidi ni resign ndani ya 24hrs hivyo sikupata chochote pale ofisni, (hii nitakuja kuisimulia siku nyingine) lakini nilijipa moyo kuwa maisha hayatonisumbua kwa vile ile pesa nilianzsiha miradi mbalimbali.

Lakini bila kujua kuwa sina uzoefu na usimamizi wa hii miradi yangu niliingia kichwa kichwa mambo yalianza kwenda mrama. Miradi iliyumba mingine niliifunga ilinibidi niuzie gari yangu niweze kusimama tena , lakini bado kama vile nilijiongezea dhiki tu.

Sasa nina miezi 10 sijapeleka rejesho la bank, na bank wanapiga simu sana mpaka waliniambia nijitahidi niweke chochote kile ili nisiwekwe kwenye blacklist. Watoto wangu nimewarudisha shule za Kayumba, hela ya kula imekuwa changamoto kiasi kwamba natamani hata kufa ili nisione hawa watoto wangu wanavyoteseka.

Nafikiri niuze nyumba hii moja niliyobaki nayo ili tu nijaribu tena bahati yangu kwenye biashara zingine lakini nahofia hiyo biashara ikifilisika hawa watoto nitawaweka wapi.

Hofu kubwa niliyonayo ni hawa watu wa hii taasisi ya bank nao wasije wakaniuzia nyumba yangu maana nimeshavurugwa mpaka kila ninalowaza naona haliwezekani.

Kwa upande mwingine naendelea kutafuta kazi nimeshafanya interview sehemu nyingi tu lakini sijabahatika kuitwa, miezi mitatu iliyopita interview yangu ya mwisho niliambiwa nitaitwa kwa ajili ya kuanza kazi mwezi wa saba au wa nane. Lakini mpaka sasa hivi sioni faraja yoyote ile ya kuitwa kwenye hiyo taasisi ya kimataifa.

Wana GT naomba neno la faraja kutoka kwenu nifanyaje ili niweze kumudu hizi heka heka za maisha na hasira za watu wa bank wasije kunipeleka mahakamani na kunifilisi

Wana GT naomba neno la faraja kutoka kwenu nifanyaje ili niweze kumudu hizi heka heka za maisha na hasira za watu wa bank wasije kunipeleka mahakamani na kunifilisi.
Pole mkuu. Nitakushaur kama wenzio tuliopitia kwenye hali yako na tulichomokaje.
Kwanza mi sijawah kuwa muajiriwa maishan mwangu so mi nitakushaur kama mtu aliyekutana na changamoto hiyo ya benk nilifanyaje.
Mi nilipata presha kama yako.

Nilichofanya ckuangalia blacklist wala nini niliwawah benk nikafungua kesi mahakaman. Nikacheza na hakimu kesi ikawa inarushwa miez 3 target yangu angalau nipate mwaka mmoja wa utulivu niwatafutie hela ya bila presha. Huku nyuma nikipata chochote naweka benk. Kesi ikaendelea mpaka nikamaliza den la kwanza la pili nilikuwa nimeweka jina langu nikatafuta wahun cku mnada unapigwa wanavuruga mpaka wakashindwa kuuza. Nikafanikiwa kuikomboa. Ila cntasahau huo wakat. Naelewa unapopitia pole mkuu.
 
Pole sana lakini usikate tamaa kwani matatizo tumeumbiwa binadamu. Kwanza amini kuwa yote yatapita na hili tatizo lako litapita tu na kuwa historia ni suala la muda tu. Hakikisha wewe na familia yako mnajiweka mikononi mwa Mungu kila siku asubuhi kabla hamjatoka kwenda kuhangaika na wanaoenda mashuleni na usiku kabla hamjalala. Ushauri wangu kwako ni kama ifuatavyo:-

1. Nyumba usiuze kabisa. Siku utakayoiuza hiyo nyumba ujue sasa hata hizo akili kidogo ulizobaki nazo za kuvukia barabara, zinazokufanya kuitwa kwenda kwenye interview na hata kuja huku JF kuomba ushauri nazo zitaondoka na hiyo nyumba utakayoiuza. Hiyo depression uliyo nayo sasa ndio itakuwa mara mbili zaidi. Ukiwa na nyumba yako jukumu lako kubwa kama baba ni kutafuta tu chakula cha familia na siku ukikosa mtakunywa hata uji wewe na familia yako mkiwa na furaha na vicheko kwa sababu mpo kwenu na hakuna wa kuwabughudhi. Nyumba za kupanga na hasa ukiwa na familia we zisikie tu kwa watu lakini omba Mungu zisikukute hasa ukute uliwahi kuwa na nyumba yako.
2.Vua uso wa aibu (wajanja wanasema kuwa kauzu/ bandidu) ili upambane vizuri. Ukiliweza hili imeisha hiyo. Usiangalie ulikuwa na magari au maisha ya daraja fulani sasa hivi sahau kabisa kuwa uliwahi hata kuwa hata na gari au kazi. Usiangalie sijui majirani zako au wafanyakazi wenzako wa zamani watasema nini. Binadamu wameumbiwa kusema hasa kama ulikuwa na maisha fulani ya kujiweza hilo lisikupe shida waache waseme lakini wewe usijali pambana kwa ajili ya familia yako na hasa zaidi sana watoto wako kwani kati ya hao watakao kuwa wanakusema na kukucheka katu hakuna atakaye kukuonea huruma na kukusaidia kuilisha familia yako au kulipa ada za watoto wako wapendwa.
3.Ushauri wangu wa tatu na wa muhimu sana kwako na familia yako. Je ulioa mwanamke wa kusaidiana naye maisha au ulioa mwanamke kwa ajili ya kuwafuruhisha watu? Kama ulioa mwanamke kwa ajili ya kuwafurahisha watu basi pole sana na jiandae kabisa kwani huko mbele ya safari hiyo depression uliyonayo inakwenda kuongezeka maradufu. Lakini kama ulioa mwanamke kwa ajili ya kusaidiana kwenye maisha basi utapata faraja kubwa sana na hukutakiwa kupata depression wala kuja hapa JF kutafuta ushauri. Ilikuwa ni suala la kumwambia mkeo (na hata mwenyewe tayari kengele ya hatari inatakiwa awe ameshaiona na kuisikia) tu kuwa mambo sio mambo tena. Kwa hiyo kata hayo makucha marefu, nyoa nywele tufanane, tupa hivyo vimini na surali zako kwenye "shangazi kaja" tafuta kanga mbili, "make up" kazihifadhi unakojua na kikubwa aibu aifungie stoo. Yeye apambane kivyake kama ni genge, maandazi, mkaa, mama ntilie, mihogo, n.k. Wewe baba nawe kapambane kama ni kuosha magari, kuendesha boda boda, udalali, kuchimba mitaro, kuendesha bajaji, uber, bolt n.k. Lengo lenu la kwanza liwe ni kujihakikishia chakula cha familia na kulipa ada za watoto kwa sababu nyumba ipo hakuna suala la kulipa kodi hapo. Mkifanikiwa hilo basi maisha mmeyaweza na mengineyo yote yatakuja mbele ya safari kutokana na uzoefu mtakaopata. Amini kuanzia hapo ndio sasa mafanikio yatakuja hata ukianza kufungua miradi mipya haitakufa tena kutokana na uzaefu na njia utakazopitia.
4. Mwisho kaa na watoto wako iwapo umri wao ni zaidi ya miaka 12 waeleze ukweli bila kuwaficha kuwa mlikuwa na maisha fulani kutokana na wewe kuwa na kazi. Na maisha yenu yamebadilika kutokana na wewe kutokuwa na hiyo kazi tena. Lakini hata wewe haufurahii hali mliyonayo lakini wahakikishie kuwa unapambana wao wapate chakula na ada zao za shule zinalipwa. Kwa hiyo wao wajitahidi wasome kwa bidii tu mambo mengine wakuachie wewe. Na waambie kabisa kwa kujiamini kuwa wasiwe na wasi wasi wapo kwenye mikono salama na kama familia baada ya mfupi mtarudi kwenye maisha yenu ya kawaida mliyoyazoea.

Nahitimisha kwako kwa kukutaka kwanza kufuatilia kwa haraka sana sana kwa wataalamu wa sheria wakupe ufafanuzi mzuri kuhusiana na iwapo benki wana uwezo wa kuuza nyumba yako wakati wewe ulikuwa na salary loan. Usitegemee sana ushauri wa watu hapa kwenye mambo ya kitaalamu kwani wengine hapa wamesomea propaganda China/Russia lakini wanakushauri mambo ya kisheria! La pili na la muhimu sana ni wewe na mke wako kuitafutia familia chakula na ada za watoto kwanza kwa kupambana hasa kabla ya mambo mengine yote.

Ni mtizamo tu.
 
Habari za leo wana GT.

Niende kwenye hoja ya msingi.
Kwa utambulisho huu mimi si mgeni humu ila ID nliyotumia ni mpya niliona nifungue hii ili nisiwezekujulikana na wanaoifahamu ID yangu iliyozoeleka hasa mke wangu.

Kwa hakika hapa nilipo nina msongo wa mawazo unanisumbua na ninahisi ninapoelekea sio pazuri, Miaka mitano nyuma nilichukua mkopo kwenye bank moja hivi hapa nchini. Huu mkopo nilichukua kwa udhamini wa mshahara wangu wa kipindi kile.

Kuna jambo lilitokea ofisini hivyo ilinibidi ni resign ndani ya 24hrs hivyo sikupata chochote pale ofisni, (hii nitakuja kuisimulia siku nyingine) lakini nilijipa moyo kuwa maisha hayatonisumbua kwa vile ile pesa nilianzsiha miradi mbalimbali.

Lakini bila kujua kuwa sina uzoefu na usimamizi wa hii miradi yangu niliingia kichwa kichwa mambo yalianza kwenda mrama. Miradi iliyumba mingine niliifunga ilinibidi niuzie gari yangu niweze kusimama tena , lakini bado kama vile nilijiongezea dhiki tu.

Sasa nina miezi 10 sijapeleka rejesho la bank, na bank wanapiga simu sana mpaka waliniambia nijitahidi niweke chochote kile ili nisiwekwe kwenye blacklist. Watoto wangu nimewarudisha shule za Kayumba, hela ya kula imekuwa changamoto kiasi kwamba natamani hata kufa ili nisione hawa watoto wangu wanavyoteseka.

Nafikiri niuze nyumba hii moja niliyobaki nayo ili tu nijaribu tena bahati yangu kwenye biashara zingine lakini nahofia hiyo biashara ikifilisika hawa watoto nitawaweka wapi.

Hofu kubwa niliyonayo ni hawa watu wa hii taasisi ya bank nao wasije wakaniuzia nyumba yangu maana nimeshavurugwa mpaka kila ninalowaza naona haliwezekani.

Kwa upande mwingine naendelea kutafuta kazi nimeshafanya interview sehemu nyingi tu lakini sijabahatika kuitwa, miezi mitatu iliyopita interview yangu ya mwisho niliambiwa nitaitwa kwa ajili ya kuanza kazi mwezi wa saba au wa nane. Lakini mpaka sasa hivi sioni faraja yoyote ile ya kuitwa kwenye hiyo taasisi ya kimataifa.

Wana GT naomba neno la faraja kutoka kwenu nifanyaje ili niweze kumudu hizi heka heka za maisha na hasira za watu wa bank wasije kunipeleka mahakamani na kunifilisi.
Anza kusali, sogea karibu zaidi na mungu. Wenzetu kwa depression wanaenda kwa therapist, sisi kiafrika ni mungu, zungumza nae.
 
Mke unaye mkuu au alishakimbiaga?
 
Hapo uliporesign ni private au government na imekuwaje ?binafsi naona kama isingekuwa na mkopo na nyumba unayo ungeficha aibu kwani ungetafuta pesa ya kula kwa kutumia gari kama Uber au bolt .

Nyumba ndo kila kitu Tena kama mkeo akikuunga mkono mpambane hata biashara ndogo mnaishi .

Mungu akusimamie ipo siku utaamka Tena inshallah
Sini hadi awe alioa mke kweli
 
Sidhani kama kasema Bank ndio wanataka kuuza nyumba, alichosema hao Bank ndio wanamshauri aweke chochote kama dhamana aepuke kuingizwa kwenye black list.

Ni yeye ndio anawaza kuuza hiyo nyumba yake.
Blacklist maana hatoweza kukopa bank yeyote ama?
 
Kama ulichukua Mkopo Bank kwa Udhamini wa Mshahara wako iweje Bank waje wauze Nyumba yako??Dhamana yako wewe ni Ofisi ndio iliyokudhamini hivyo Bank hawawezi kuwa na Hati ya Nyumba yako
Bora umeuliza hili swali...nilikuwa nna maswali mengi sana[emoji848]
 
Jibu zile comment za msingi kuna watu wamekuuliza maswali yenye logic ambayo yataamua kesho yako badala yake unajibu comment za hovyo

Labda hutaki ushauri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeona mkuu ehh?

Comments za msingi na maswali ya maana kayaruka eti kaenda kudandia comment ya kujiua[emoji849][emoji849][emoji38][emoji38]

Huyu yuko sawa kweli?
Extrovert
 
Usikate tamaa utawakatisha hata hao wanaokutegemea .endelea kupambana utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom