Derby na matokeo ya sare ni kupotezeana muda tu

Derby na matokeo ya sare ni kupotezeana muda tu

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Sasa ndio nini hiki tumeraruana wiki nzima halafu wanashindwa kufungana. Yaani ujinga tu haina hata raha 😡😡😡😡


20221023_184244.jpg
 
Kushindwa kufungana ndio nini?
Hujaona magoli yamefungwa pale?
Kwa hiyo mechi imeisha 0-0
Point ya msingi umeielewa hakuna mshindi acha kukaza fuvu.
 
Back
Top Bottom