Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
hapo kidogo waargentina wametumia akili , maana wangemwagana damu adi kero
Baada ya ile derby kali, kuvurugika sasa rasmi ,itaenda kupigwa uwanja huru ,na sasa Waargentina hawa watavuka bahari hadi bara la ULAYA kwenye uwanja wa SANTIAGO BERNABEU kupambana
HII SIO YA KUKOSAView attachment 950966
Tatizo TV gani inaonyeshaHii mechi siyo ya kukosa kiongozi, ni moja kati ya derby bora duniani..
Tatizo TV gani inaonyesha
Duuh yamekua haya tena
Mkuu, hawa ni kama simba na yanga hapa bongo eti?aisee toka Argentina mpaka Spain!!! Ila wametumia sana akili.
Itakuwa tarehe ngapi?
Mkuu, hawa ni kama simba na yanga hapa bongo eti?
Nasubiri mechi ya Simba na Yanga ihairishwe kuchezwa bongo ipelekwe Old TrafordMkuu, hawa ni kama simba na yanga hapa bongo eti?
Nasubiri mechi ya Simba na Yanga ihairishwe kuchezwa bongo ipelekwe Old Traford
Upo sawa mkuu yani hii wataalamu wa kabumbu wanasema ndo derby kubwa duniani ukiacha Barca na Madrid ambayo kwa sasa kama gem zao zinakuwa za kawaida unaenda kucheki gem unajua leo madrid anakula tatu au nne ila hao waargentina ni nyokooYeah Watani wa jadi, ni derby kubwa south america na huenda hata duniani kote. Hatari sana haya majamaa..