Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Baada ya ile derby kali, kuvurugika sasa rasmi ,itaenda kupigwa uwanja huru ,na sasa Waargentina hawa watavuka bahari hadi bara la ULAYA kwenye uwanja wa SANTIAGO BERNABEU kupambana

HII SIO YA KUKOSA
Screenshot_2018-11-30-01-28-29.jpeg
 
Yeah Watani wa jadi, ni derby kubwa south america na huenda hata duniani kote. Hatari sana haya majamaa..
Upo sawa mkuu yani hii wataalamu wa kabumbu wanasema ndo derby kubwa duniani ukiacha Barca na Madrid ambayo kwa sasa kama gem zao zinakuwa za kawaida unaenda kucheki gem unajua leo madrid anakula tatu au nne ila hao waargentina ni nyokoo
 
Back
Top Bottom