Ni bora umesema "binafsi" maana yatabaki kuwa maoni yako tu.Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.
Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.
Katika hii MICHEZO4 BALEKE akifunga GOLI 3 tu hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.
Kwa sasa nisiseme nikamaliza
We ungeweza kama ungekuwa mshambuliaji? izo mechi ni Tafu atleast goli mbiliKipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.
Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.
Katika hii MICHEZO4 BALEKE akifunga GOLI 3 tu hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.
Kwa sasa nisiseme nikamaliza
AZAM hao anaweza kuondoka na mpira tena na hao Yanga akiweza kuwatungua goli la kwanza ndani ya dakika 10 za mwanzo, anaweza pia kuondoka na mpira kwenye derby inategemea tu performance ya kina Kibu na Chama siku hiyo (simtegemei sana Saido).Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.
Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.
Katika hii MICHEZO4 BALEKE akifunga GOLI 3 tu hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.
Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Manara apewe sifa....Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.
Yanga.
Azam.
Wydad.
Wydad.
Katika hii MICHEZO 4 BALEKE akifunga GOLI 3 tu hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.
Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Baleke ni mchezaji wa TP Mazembe aliyepekwa Simba kwa mkopo.Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto kupigania huku wa kulia kauficha.
Cha kuombea ni kwamba wachezaji wazoefu wale wale tuliowazoea waingie kucheza, kocha aamue wazoefu ndio wacheze.
Kweli hayo ni maoni binafsi, maana atataka kusema mayele ila ukiangalia mayele hajawahi cheza againts wakubwa wa hadhi ya raja, horoya wydad basi ndio kaamua kupimia humo, tukutane jumapili mwaka huu mtaabika maana mchawi wenu tushamlogaKipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.
Yanga.
Azam.
Wydad.
Wydad.
Katika hii MICHEZO 4 BALEKE akifunga GOLI 3 tu hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.
Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Nusu ya wachezaji wenu mnaotamba nao sasa, walionekana kuwa magarasa kule AS Vita baada ya kupigwa na Simba Sc nje ndani, ila huku kwenu wanatamba.Baleke ni mchezaji wa TP Mazembe aliyepekwa Simba kwa mkopo.
Sijui kama unaelewa nini mchezaji akitolewa kwa mkopo?
Ile TP Mazembe mnayosema mbovu Baleke hana namba, ameletwa Simba akuze kiwango chake.
subiri makicha wanamsomaNimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto kupigania huku wa kulia kauficha.
Cha kuombea ni kwamba wachezaji wazoefu wale wale tuliowazoea waingie kucheza, kocha aamue wazoefu ndio wacheze.
Bora umuambie, anajitoa ufahamu sana huyo.Nusu ya wachezaji wenu mnaotamba nao sasa, walionekana kuwa magarasa kule AS Vita baada ya kupigwa na Simba Sc nje ndani, ila huku kwenu wanatamba.
Ni kawaida sana, hii ligi ni ndogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna team wameingia kwenye mkopo wa Kausha Damu. Watajua hawajui.Ndo kwanzaaaaaa ameanza..mpka awakaushe damu...
Jini##vampire##
Kibwana? Bacca? Mwamnyeto? Kidogoo Job.Uzuri wake utaonekana siku hiyo atakapocheza dhidi ya mabeki mahiri kabisa wa Yanga.