ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile vitendo vya fujo dhidi ya Simba hadi kupelekea mchezo kuvunjwa, kwanini bodi ya ligi haikutoa adhabu kabla ya kutangaza tarehe mpya ya mchezo?
Walisema wana ushahidi, busara ni kuwataja mabaunsa hao Kwa majina na sura zao na kuwapa adhabu
Na wale waliotoa rushwa, report ya bodi ya ligi iwape adhabu waliotoa na kipokea rushwa sio kutangaza tarehe mpya ya mchezo bila kuwaadhibu
Hicho kitendo kikijirudia bodi ya ligi watavunja mechi tena
Kanuni inasema baunsa akizuia timu kufanya mazoezi timu igomee au mechi ivunjwe
Bodi ya ligi vilaza wote