Kuna Team inaitwa 5imba?5imba nao walitoa press release hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe, hadi sasa hakuna watu wala taasisi iliyo wajibishwa sasa watacheza vipi hio tarehe 15 bila malalamiko yao kufanyiwa kazi?
Inayo pigwaga 5 kitaifa na kimataifaKuna Team inaitwa 5imba?
cha kushangaza hadi leo hakuna adhabu imetangazwa kwa mabaunsa ila nyau yuko tayari kucheza (kwa nini wakati alisema hachezi hadi adhabu kwa walio zuia)5imba nao walitoa press release hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe, hadi sasa hakuna watu wala taasisi iliyo wajibishwa sasa watacheza vipi hio tarehe 15 bila malalamiko yao kufanyiwa kazi?
Simbb waseee sana
Mtapigwa na Polisi mpaka mtajuta taahira nyieMoja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile vitendo vya fujo dhidi ya Simba hadi kupelekea mchezo kuvunjwa, kwanini bodi ya ligi haikutoa adhabu kabla ya kutangaza tarehe mpya ya mchezo?
Walisema wana ushahidi, busara ni kuwataja mabaunsa hao Kwa majina na sura zao na kuwapa adhabu
Na wale waliotoa rushwa, report ya bodi ya ligi iwape adhabu waliotoa na kipokea rushwa sio kutangaza tarehe mpya ya mchezo bila kuwaadhibu
Hicho kitendo kikijirudia bodi ya ligi watavunja mechi tena
Kanuni inasema baunsa akizuia timu kufanya mazoezi timu igomee au mechi ivunjwe
Bodi ya ligi vilaza wote
Siyo kuhairishwa - kuahirishwaMoja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile vitendo vya fujo dhidi ya Simba hadi kupelekea mchezo kuvunjwa, kwanini bodi ya ligi haikutoa adhabu kabla ya kutangaza tarehe mpya ya mchezo?
Walisema wana ushahidi, busara ni kuwataja mabaunsa hao Kwa majina na sura zao na kuwapa adhabu
Na wale waliotoa rushwa, report ya bodi ya ligi iwape adhabu waliotoa na kipokea rushwa sio kutangaza tarehe mpya ya mchezo bila kuwaadhibu
Hicho kitendo kikijirudia bodi ya ligi watavunja mechi tena
Kanuni inasema baunsa akizuia timu kufanya mazoezi timu igomee au mechi ivunjwe
Bodi ya ligi vilaza wote
Nadhani TFF watakua mstari wa mbele kuhakikisha kila taratibu inaends ipasavyo--- hiyo siku labla yanga agome kutokea tuMoja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile vitendo vya fujo dhidi ya Simba hadi kupelekea mchezo kuvunjwa, kwanini bodi ya ligi haikutoa adhabu kabla ya kutangaza tarehe mpya ya mchezo?
Walisema wana ushahidi, busara ni kuwataja mabaunsa hao Kwa majina na sura zao na kuwapa adhabu
Na wale waliotoa rushwa, report ya bodi ya ligi iwape adhabu waliotoa na kipokea rushwa sio kutangaza tarehe mpya ya mchezo bila kuwaadhibu
Hicho kitendo kikijirudia bodi ya ligi watavunja mechi tena
Kanuni inasema baunsa akizuia timu kufanya mazoezi timu igomee au mechi ivunjwe
Bodi ya ligi vilaza wote
Tena huyo ukikaidi utapigwa2 kasahau, inaitwa 51mbaKuna Team inaitwa 5imba?
Utetezi wa kitoto. Kwani kina safari wanaatokea wapi?Mimi natokea Kanda ya ziwa
Huku tuko wababe hivo naongea kibabe
Hukuna tunatumia h na r
Mara ngapiHiyo ni Simba sports club ila huwa wanapenda kuitwa 5imba maana hupokea vipogo vya goli 5 mara nyingi
Watakuambia "tumewasemehe", na ndiyo maana wako tayari kucheza kwa muda wanao utaka wao.5imba nao walitoa press release hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe, hadi sasa hakuna watu wala taasisi iliyo wajibishwa sasa watacheza vipi hio tarehe 15 bila malalamiko yao kufanyiwa kazi?
Ilete hapa hiyo press release ya simba yenye hayo maneno uliyoandika5imba nao walitoa press release hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe, hadi sasa hakuna watu wala taasisi iliyo wajibishwa sasa watacheza vipi hio tarehe 15 bila malalamiko yao kufanyiwa kazi?
Tumewasamehe wote waliosababisha vurugu na hatuna mpango wa kuwashitaki njooni tukinukishe Jun 15.5imba nao walitoa press release hawatacheza mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe, hadi sasa hakuna watu wala taasisi iliyo wajibishwa sasa watacheza vipi hio tarehe 15 bila malalamiko yao kufanyiwa kazi?