Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga.

Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema serikali inafauatilia kuhusu mvutano huo na unavyoendelea kutatuliwa.

Source: Jambo Tv
​
 
Serikali ina mambo mengi ya kufanya ... na sio huu uhuni wa viongozi wahuni wahuni wa utopolo. Acha wapasuke tu . watolewe kwa bakora pale klabuni kwa kuikosesha Yanga Ubingwa wa NBC na CRDB.
 
Hiyo serikali ndio wahuni wenyewe wakae mbali na hili. Yanga shikilia hapohapo hawa wajinga wanatuona wote Mbumbumbu
 
Serikali ina mambo mengi ya kufanya ... na sio huu uhuni wa viongozi wahuni wahuni wa utopolo. Acha wapasuke tu . watolewe kwa bakora pale klabuni kwa kuikosesha Yanga Ubingwa wa NBC na CRDB.
Kukimbia march 8 ulikuwa uhuni mkubwa.
 
Back
Top Bottom