Utabiri wako ungekuwa YANGA atatanguliwa kufungwa kisha akasawazisha kidogo ningekubali.
Iko hivi, kama YANGA atatanguliwa kufungwa ujue ATASAWAZISHA.
KAMA SIMBA atatanguliwa kufungwa , ujue atafungwa zaidi.
Kwanini?
Kitendo cha Simba kutanguliwa kufungwa kisha wakaamua kufunguka ili wasawazishe itakuwa ni KIAMA .