The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Yanga atatangulia kumfunga Simba Leo, baadaye Baleke ataisawazishia Simba.
FT. Yanga Vs Simba 1:1.
Nipo paleee
FT. Yanga Vs Simba 1:1.
Nipo paleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TusubiriUtabiri wako ungekuwa YANGA atatanguliwa kufungwa kisha akasawazisha kidogo ningekubali.
Iko hivi, kama YANGA atatanguliwa kufungwa ujue ATASAWAZISHA.
KAMA SIMBA atatanguliwa kufungwa , ujue atafungwa zaidi.
Kwanini?
Kitendo cha Simba kutanguliwa kufungwa kisha wakaamua kufunguka ili wasawazishe itakuwa ni KIAMA .
Nimekaa paleeeeTusubiri