Derby ya leo iwe dira yetu Yanga SC

Derby ya leo iwe dira yetu Yanga SC

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni wazi msimu ujao upo uwezekano mkubwa tunaenda kushiriki kimataifa,swala la sajiri mpya limekua likiongelewa kimya kimya kana kwamba si jambo la lazima,lakini kwa game ya leo ilivyoenda tuna kila sababu ya kufanya sajiri mpya hasa eneo la winga zetu.hii ni rai kwa uongozi.

Sio siri game hii tulikua tuishinde kwa 80% ..tulifanikiwa mno kumiliki,kufika langoni mwa mpinzani,tatizo llikawa umaliziaji japo tuna kila sababu ya kuwasifu wapinzani wao walikua vizuri kwenye safu yao ya ulinzi

Naona tuna uhitaji mkubwa wa wachezaji wanne hivi,kama tungepata ma winga wawili matata wa kimataifa wenye kuleta matumaini,pia namba kumi mmoja goal machine asaidiane na kina Fiston pale mbele na beki mmoja wa kushoto mithiri ya Djuma shabaan

Angalau hapo twende kimataifa.
Na kwa kuliwezesha hilo baadhi ya wachezaji wetu ambao kwa kweli viwango vyao haviendani na level tuitakayo kiroho safi tuwatoe kwa mkopo kwenda timu nyingine ..yaani tuwe serious na wakati.

Sipendi kuwataja kwa majina wachezaji gani tuwaache lakini tukiweza punguza wawili wageni na wawili au watatu wazawa tukapata vichwa vinne imara vikaungana na hivi vichwa mahiri vilivyopo hakika tutaimarika.

Wananchi tupo vizuri na tukijiimarisha ipasavyo basi misimu sita ijayo hakuna wa kutushusha kileleni ni wakati sasa tuvuke twende level za kuwa tishio caf.

Daima mbele.
 
Mmefika lango lipi yaani?
 
level za kuwa tishio caf.

Daima mbele.

Mkuu ungemalizia tu mwiko nyuma.
 
Makambo
Chico Ushindi

Hawa tunaachana nao mapema sana pia tuna nafasi mbili za wachezaji Wa kimataifa zipo wazi

Kwahiyo kuna vyuma vinne vya kimataifa vinashuka kuja kuongeza nguvu

Winga mmoja wa kuja kuongeza nguvu kwa Yacouba na Moloko,Central Striker,Namba 10 ya kufunga na kutengeneza magoli,halafu kuna Left back mmoja ambaye pia ana uwezo Wa kucheza centre back kutoka Ghana kuna uwezekano wa kumalizana nae Mapema kabisa
 
Kwa hyo makambo mlipigwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makambo
Chico Ushindi

Hawa tunaachana nao mapema sana pia tuna nafasi mbili za wachezaji Wa kimataifa zipo wazi

Kwahiyo kuna vyuma vinne vya kimataifa vinashuka kuja kuongeza nguvu

Winga mmoja wa kuja kuongeza nguvu kwa Yacouba na Moloko,Central Striker,Namba 10 ya kufunga na kutengeneza magoli,halafu kuna Left back mmoja ambaye pia ana uwezo Wa kucheza centre back kutoka Ghana kuna uwezekano wa kumalizana nae Mapema kabisa
 
Namalizia mkuu. ......Nyuma mwiko!!!, nasikia mashabiki wa timu nyingi mnaongea sana kuhusu kuachana na kuongeza baadhi ya wachezaji. NB suala usajili lina mambo kadhaa;
01. Timu kuachana mchezaji baada ya kushindwa kutoa matokeo tarajiwa; kuvunja mkataba au kutolewa kwa mkopo.
02. Timu kuongeza wachezaji wapya hapa ndipo ilipo pointi yangu. Wakati timu inajipanga kuongeza wachezaji ili kuboresha kikosi. Kuna baadhi key player watatakiwa na timu zingine zenye nguvu kifedha. Hapa ndipo baadhi timu hupoteza baadala kuboresha kikosi. Mfano timu inahitaji striker wawili wakati huo huo inapoteza mmoja baadala ya kutafuta wawili itahitaji watatu, hapo wanaletwa watatu wapya kabisa kwenye kikosi ambapo ni ngumu kuzoeana kwa mda mfupi. It will be better if other factor remain costant.
 
Ni wazi msimu ujao upo uwezekano mkubwa tunaenda kushiriki kimataifa,swala la sajiri mpya limekua likiongelewa kimya kimya kana kwamba si jambo la lazima,lakini kwa game ya leo ilivyoenda tuna kila sababu ya kufanya sajiri mpya hasa eneo la winga zetu.hii ni rai kwa uongozi.

Sio siri game hii tulikua tuishinde kwa 80% ..tulifanikiwa mno kumiliki,kufika langoni mwa mpinzani,tatizo llikawa umaliziaji japo tuna kila sababu ya kuwasifu wapinzani wao walikua vizuri kwenye safu yao ya ulinzi

Naona tuna uhitaji mkubwa wa wachezaji wanne hivi,kama tungepata ma winga wawili matata wa kimataifa wenye kuleta matumaini,pia namba kumi mmoja goal machine asaidiane na kina Fiston pale mbele na beki mmoja wa kushoto mithiri ya Djuma shabaan
Angalau hapo twende kimataifa.
Na kwa kuliwezesha hilo baadhi ya wachezaji wetu ambao kwa kweli viwango vyao haviendani na level tuitakayo kiroho safi tuwatoe kwa mkopo kwenda timu nyingine ..yaani tuwe serious na wakati.

Sipendi kuwataja kwa majina wachezaji gani tuwaache lakini tukiweza punguza wawili wageni na wawili au watatu wazawa tukapata vichwa vinne imara vikaungana na hivi vichwa mahiri vilivyopo hakika tutaimarika.

Wananchi tupo vizuri na tukijiimarisha ipasavyo basi misimu sita ijayo hakuna wa kutushusha kileleni ni wakati sasa tuvuke twende level za kuwa tishio caf.

Daima mbele.
Uzuri wa Yanga ni kwamba hata washinde ubingwa wa Tanzania, matokeo yao kimataifa ni yale yale....."jamvi la wageni." Ifike muda TFF iwapige stop Yanga kushiriki mashindano ya kimataifa maana wanatia haibu.
 
Yanga hii hii iende champions ligi si watatutia aibu kila siku wanaishia round ya kwanza jamani. Jana mpk Ft no shoot on target mwee
 
Timu iliyotinga robo fainali CAF confederation imeshindwa kumfunga Yanga mbovu.
 
Yanga hii hii iende champions ligi si watatutia aibu kila siku wanaishia round ya kwanza jamani. Jana mpk Ft no shoot on target mwee
Mechi nyingi tu Simba wamecheza bila kuwa na shoot on target tena dhidi ya timu za kati kwenye ligi ya NBC
 
Namalizia mkuu. ......Nyuma mwiko!!!, nasikia mashabiki wa timu nyingi mnaongea sana kuhusu kuachana na kuongeza baadhi ya wachezaji. NB suala usajili lina mambo kadhaa;
01. Timu kuachana mchezaji baada ya kushindwa kutoa matokeo tarajiwa; kuvunja mkataba au kutolewa kwa mkopo.
02. Timu kuongeza wachezaji wapya hapa ndipo ilipo pointi yangu. Wakati timu inajipanga kuongeza wachezaji ili kuboresha kikosi. Kuna baadhi key player watatakiwa na timu zingine zenye nguvu kifedha. Hapa ndipo baadhi timu hupoteza baadala kuboresha kikosi. Mfano timu inahitaji striker wawili wakati huo huo inapoteza mmoja baadala ya kutafuta wawili itahitaji watatu, hapo wanaletwa watatu wapya kabisa kwenye kikosi ambapo ni ngumu kuzoeana kwa mda mfupi. It will be better if other factor remain costant.
Watazoeana tu tena wakija mafundi wala huna haja ya kuwapa muda
 
Back
Top Bottom