ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni wazi msimu ujao upo uwezekano mkubwa tunaenda kushiriki kimataifa,swala la sajiri mpya limekua likiongelewa kimya kimya kana kwamba si jambo la lazima,lakini kwa game ya leo ilivyoenda tuna kila sababu ya kufanya sajiri mpya hasa eneo la winga zetu.hii ni rai kwa uongozi.
Sio siri game hii tulikua tuishinde kwa 80% ..tulifanikiwa mno kumiliki,kufika langoni mwa mpinzani,tatizo llikawa umaliziaji japo tuna kila sababu ya kuwasifu wapinzani wao walikua vizuri kwenye safu yao ya ulinzi
Naona tuna uhitaji mkubwa wa wachezaji wanne hivi,kama tungepata ma winga wawili matata wa kimataifa wenye kuleta matumaini,pia namba kumi mmoja goal machine asaidiane na kina Fiston pale mbele na beki mmoja wa kushoto mithiri ya Djuma shabaan
Angalau hapo twende kimataifa.
Na kwa kuliwezesha hilo baadhi ya wachezaji wetu ambao kwa kweli viwango vyao haviendani na level tuitakayo kiroho safi tuwatoe kwa mkopo kwenda timu nyingine ..yaani tuwe serious na wakati.
Sipendi kuwataja kwa majina wachezaji gani tuwaache lakini tukiweza punguza wawili wageni na wawili au watatu wazawa tukapata vichwa vinne imara vikaungana na hivi vichwa mahiri vilivyopo hakika tutaimarika.
Wananchi tupo vizuri na tukijiimarisha ipasavyo basi misimu sita ijayo hakuna wa kutushusha kileleni ni wakati sasa tuvuke twende level za kuwa tishio caf.
Daima mbele.