PostGE2025 Dereva Bajaji: Watu wengi wamefia mahabusu, Watu waliovunjwa miguu, viuno na viungo vingine vya mwili kwa risasi

PostGE2025 Dereva Bajaji: Watu wengi wamefia mahabusu, Watu waliovunjwa miguu, viuno na viungo vingine vya mwili kwa risasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Dereva wa bajaji anaeleza kuwa baada ya kumpeleka abiria wake aliyepigwa risasi na kuvunjika niguu yote, alikamatwa, akapigwa sana kisha kuingizwa mahabusu. Ndani ya mahabusu, alikuta watu waliojeruhiwa vibaya—waliovunjika miguu, viuno na viungo vingine kwa risasi—wengine wakifariki wakiwa humo humo.


 
Duh,
Kwamba familia nzima: baba, mama, watoto, shangazi, nk walikuwa wanakusanywa kutoka nyumbani kwao wanapigwa sana na kusukumwa ndani?
 
Back
Top Bottom