Dereva Basi la Kilimanjaro Express aliyesababisha ajali na kuua watu wanne, afutiwa leseni

Ukweli kwamba ameuwa watu wanne kwa uzembe wa kutisha..dereva kama huyu anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwa madereva wengine wa aina yake.. ikikubalika, ya kifungo cha maisha
Bahati mbaya yeye hajaua ila alisababisha ajali iliyopelekea vifo vya abiria wanne, adhabu yake ni ya kawaida tu.
 
Leseni imefutwa au imekuwa suspended, maana mchakato wa mahakama bado......
 
Hiyo adhabu ni kubwa sana na ni imani yangu kwamba aliyeitpa amekurupuka. Huyu mtu ana familia, ndugu wanamtegemea kwa chakula, mavazi, matibabu, karo za shule na mengine mengi.

Kumfutia leseni kutaleta dhiki kubwa kwa wanafamilia na hata yeye mwenyewe.

Nawashauri mamlaka husika kulifikiria upya jambo hili na ikiwezekana imfungie leseni yake kwa kipindi kama sheria inavyosema na siyo kimfutia leseni yake.

Ajali zinatokea kila siku na haziwezi kuzuiwa kwa kuwafutia madereva leseni zao
Hakuna adhabu kubwa hapo hiyo ni ndogo sana kwa kugharimu maisha ya watu. We unadhani ni kiasi gani hao majeruhu 39 wanagharamika kutibiwa na nivip familia ya hao wanne waliokufa?? Jiongeze mkuu
 
Hiyo adhabu ni kubwa sana na ni imani yangu kwamba aliyeitpa amekurupuka. Huyu mtu ana familia, ndugu wanamtegemea kwa chakula, mavazi, matibabu, karo za shule na mengine mengi.

Kumfutia leseni kutaleta dhiki kubwa kwa wanafamilia na hata yeye mwenyewe.

Nawashauri mamlaka husika kulifikiria upya jambo hili na ikiwezekana imfungie leseni yake kwa kipindi kama sheria inavyosema na siyo kimfutia leseni yake.

Ajali zinatokea kila siku na haziwezi kuzuiwa kwa kuwafutia madereva leseni zao
Awe Konda sio lazma awe dereva
 
Kwanza wanamfutia leseni, na baadaye watampeleka mahakamani. Ina maana wanamfutia leseni kabla hajapatikana na hatia. Vipi akifikishwa mahakamani na ikaonekana hiyo ilikuwa ajali tu ambayo hakuwa na uwezo nayo wa kuizuia? Ina maana hana hatia. Nini hatima ya kufutiwa leseni iwapo itatokea hivyo?
Hoja yako mkuu Niya msingi Sana hao Wana revoke lesen yake na wao na hyo power Iman yangu inaniambia hawajakurupuka ,,,,hata Kama mahakama ikimkuta Hana hatia Bado adhabu yakufutiwa lesen ipo pale pale kumbka ajali ni moja ya makosa ambayo hutokea bila mtu kuwa na intention otherwise pawe na intention NDYO inakuwa criminal.
 
Hiyo adhabu ni kubwa sana na ni imani yangu kwamba aliyeitpa amekurupuka. Huyu mtu ana familia, ndugu wanamtegemea kwa chakula, mavazi, matibabu, karo za shule na mengine mengi.

Kumfutia leseni kutaleta dhiki kubwa kwa wanafamilia na hata yeye mwenyewe.

Nawashauri mamlaka husika kulifikiria upya jambo hili na ikiwezekana imfungie leseni yake kwa kipindi kama sheria inavyosema na siyo kimfutia leseni yake.

Ajali zinatokea kila siku na haziwezi kuzuiwa kwa kuwafutia madereva leseni zao
Mkuu unamaanisha waliofariki hawana wategemezi ambao wamebaki wakitaabika?.
 
Nasikia polisi ni mahakama ndogo ndani ya mahakama kubwa. Huko barabarani ukipigwa tochi ya overspeeding, ujue Tiganga na Kibatala huwa hawajafanya mambo yao ya PGO, lakini pesa lazima ulipe!
Sheria ya usalama barabarani inatoa room ya kama huridhiki na hiyo fine uikatae, then wao wakupeleke mahakamani ukajitetee.
Sasa fikiria usumbufu utakaoupata kila siku mahakamani wakati ungeweza kulipa 30,000/= ukaendelea na mishe zako.
Pia ungeweza kutoa buku tano ya kubrashia viatu na kesi ikaishia hapo 😀😀😀😀
 
Mkuu......

Adhabu huwa siyo discretion ya Hakimu au Jaji. Sheria ndiyo inayotamka aina fulani ya kosa adhabu yake ni nini. You seem to be very emotional lakini hujawaza kuhusu laws and facts regarding the case at hand
Huyu dereva hakukuwa bali alisababisha ajali iliyosababisha vifo.Kosa lake ni recklessness.
 
Hiyo adhabu ni kubwa sana na ni imani yangu kwamba aliyeitpa amekurupuka. Huyu mtu ana familia, ndugu wanamtegemea kwa chakula, mavazi, matibabu, karo za shule na mengine mengi.

Kumfutia leseni kutaleta dhiki kubwa kwa wanafamilia na hata yeye mwenyewe.

Nawashauri mamlaka husika kulifikiria upya jambo hili na ikiwezekana imfungie leseni yake kwa kipindi kama sheria inavyosema na siyo kimfutia leseni yake.

Ajali zinatokea kila siku na haziwezi kuzuiwa kwa kuwafutia madereva leseni zao
Umeongea fact ,after all hii ni ajali,ukifatilia vizuri unaweza kuta yupo barabaran almost kila siku 24/7 na trend yake utakuta katika route zake elfu 5 kapata one loss ya ajali ila kwa jazba unamfutia lessen ...
 
Adhabu yake ni 300k tu.
Kuna umuhimu wa ku review sheria kuhusu Uzembe wa madereva.. kama mazingira mengine yote yako sahihi, lakini source ikawa ni Uzembe wa dereva uliopelekea abiria kufa, adhabu inayostahili iwe zaidi ya hii.. la sivyo tutaendelea kusitisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia
 
Haya ndiyo mambo ya kuzungumza sasa. Ila madareva wengi ni UVCCM , sheria hii haitapitishwa kwani itakula kwao.
 
Mkuu......

Adhabu huwa siyo discretion ya Hakimu au Jaji. Sheria ndiyo inayotamka aina fulani ya kosa adhabu yake ni nini. You seem to be very emotional lakini hujawaza kuhusu laws and facts regarding the case at hand
Mkuu.. am not being emotional.. ndo sababu nimeandika 'ikikubalika' nikimaanisha kureview sheria za barabarani kuhusu dereva kuzembea kiasi cha kusababisha kifo au vifo kwa abiria, other factors being acceptable kama condition ya barabara, alama za usalama barabarani, hali ya hewa, hali ya chombo chenyewe na afya au utimamu wa dereva. During inspection, ikihakikishwa kuwa, kwa mfano dereva ame overtake gari au magari sehemu isiyoruhusiwa ya barabara, na matokeo yake yakawa ni ajali iliyopelekea abiria kupoteza maisha, adhabu iwe kifungo cha maisha
 
Haya ndiyo mambo ya kuzungumza sasa. Ila madareva wengi ni UVCCM , sheria hii haitapitishwa kwani itakula kwao.
Regardless Mkuu.. cha muhimu ni ku review sheria kwa lengo la ku minimize au ku eliminate vifo vinavyotokana na UZEMBE WA MADEREVA
 
Back
Top Bottom