Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini.
Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea. Ikafika sehemu kuna msongamano wa magari mwenzie akaruka akamuacha peke ake huko ndani ya bajaji.
Mdada akawa anapiga kelele watu wamsaidie mana jam iliisha na bajaji ikawa inaendeela kwenda. Ghafla bajaji akamsukuma huku akiendelea kuendesha.
Bajaji akakimbia mdada akabaki hapo chini kaumia kachubuka mno. Mdada alipelekwa hospital kupatiwa huduma ya kwanza pia akaenda police. Akaenda pia office za bolt na hawajachukua hatua yoyote. Huyo kaka bolt alikamatwa lakini alitolewa kwa dhamana.
Utaratibu mwingine polisi wamesema utaendelea Jumatatu. Wadada tuwe makini sana kwa sababu sisi ndio tunatumia bolt sana madereva bolt asilimia kubwa wamekua wajinga sana sana.
Mods wakiruhusu nitaweka picha ya jeraha kubwa la huyu dada.
"Nisameeni kwa uandishi mbovu"