mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
wewe ni shuhuda mkuu?Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja.Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City.Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai,awaingize ndani wataongeza hela.Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka,wao wakaruka.Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone.Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.
Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
ongeza maelezo tafadhali