Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

WA Kwanza alitoka kwenye foleni
Bajaji ikaendelea kwenda akiwa kabaki mmja, akawa anajaribu kupiga kelele uita watu nje ndio kusukumwa na kujiburuta kweny rami
Kwahiyo bajaj ikiwa kwenye mwendo wa kasi, dereva akaachia usukani na kugeuka nyuma kumsukuma huyo mcharuko akaanguka?

Ama dereva ana mikono mitatu.

Ama bajaj hiyo ni special inabeba mtu mmoja nyuma na mmoja mbele hivyo mdada alikuwa seat ya mbele. Maana umedai walipanda wawili tu, bajaj ninazojua wanakaa watatu nyuma.
 
Ingia Google andika BOLT usome uko Google uelewe kwanza.
Alafu mtu humjui kwa nin umuite mcharuko kua na nidhamu kaka.
 
Ila wabongo ustaarabu bado sana. Leo asubuhi naenda kwenye event fulani nilishapanga bajaj ya kunipeleka tangu jana.
Bajaj kaja amenisubiri kuna jamaa wengine wanaenda event hio hio wakawa wanamlazimisha awapeleke wao aachane na mimi. Ila Bajaj akakaza nikafika pale kuona jamaa wako stranded na tunaenda sehemu moja nikamwambia Bajaj awaruhusu wapande twende wote. Wakapanda. Kufika eneo la tukio wakshuka wakajipangia bei likaanza zogo na Bajaj wakamtupia zile hela wakaondoka. Nilishangaa sana, nilichofanya nikampa Bajaj nauli full tuliyokubaliana mimi na yeye ile ya jamaa ikawa bonus. Jamaa ni watu wazima ukiwaona unaweza kufikiri wanajitambua kumbe ni bure kabisa. Yote ni Sharan kwa kazi za watu.
Mungu atadili nao katika namna ya ajabu hawataamini. Malipo ni hapa hapa.
 
Umegeuka ugomvi wa wanawake na wanaume na si abiria na mteja wake.

Tz bwana! Binafsi nadhani Bolt , Abiria na Dereva wake wasikilizwe na kila mtu apewe haki yake.
Kabisa. Hapa wanaume tayari wameshaweka picha ya ''vidada vyenye maringo'' kwenye vichwa vyao, na ''ku-vihukumu''. Maisha magumu nchi hii yamesababisha wanaume wengi wawe na frustration wanapoona wanawake ambao hawawezi kuwapata kwani uwezo hawana.
 
Back
Top Bottom