Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Ingia Google andika BOLT usome uko Google uelewe kwanza.
Alafu mtu humjui kwa nin umuite mcharuko kua na nidhamu kaka.
Hiyo kesi naijua fika. Ndio maana namuita huyo dada mashauzi mcharuko. Mashauzi na upuuzi kwenye kazi za watu, mbona sisi wengine tunashuka pale nje.

Hivi unajua Bolt wanatambua eneo la kushusha abiria ni lipi kama anaenda M City? Sasa huyo dada alikuwa analazimisha bajaj aingie ndani kama nani VIP ama?
Na aliambiwa wapi kwamba ni lazima bajaj akubali kila ofa, mmefika mwisho wa safari makubaliano ya kuendelea kakataa sasa unakaza nini na ujuaji wako wa kipuuzi. Dada kagoma kushuka dereva hapotezi muda akaondoa bajaj yake ikabidi dada ageuke starling.
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Lakini ulimsukuma akaanguka?
 
Hiyo kesi naijua fika. Ndio maana namuita huyo dada mashauzi mcharuko. Mashauzi na upuuzi kwenye kazi za watu, mbona sisi wengine tunashuka pale nje.

Hivi unajua Bolt wanatambua eneo la kushusha abiria ni lipi kama anaenda M City? Sasa huyo dada alikuwa analazimisha bajaj aingie ndani kama nani VIP ama?
Na aliambiwa wapi kwamba ni lazima bajaj akubali kila ofa, mmefika mwisho wa safari makubaliano ya kuendelea kakataa sasa unakaza nini na ujuaji wako wa kipuuzi. Dada kagoma kushuka dereva hapotezi muda akaondoa bajaj yake ikabidi dada ageuke sterling.
Sasa kama anamashauzi na mcharuko we unaumia nin?
Mjuaji ni wewe mana unajieleza sana.
Kama ww hua unawashusha abiria wako nje ni ww usilazimishe.
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Hivi kumbe ww ndio dereva bolt mwenyewe.
😂😂😂😂😂😂
Usicheze na uhai wa MTU.
Kuna siku utamfanyia mtu huu upuuzi uende kuozea jera na kuliwa tunda juu.
Hili likiisha itakua vizuri ukifungua kesi
 
Kweli kabisa inavyoonesha hicho kidada chako kinaa mashauzi yake kimerequest afu tatu afu nyodo kibao na kutaka kumpelekesha dreva bajaj ya mil 10.3 kwa afu tatu pumbafuuu na hilo ni funxo kwa visonkolokwinyo wote
Funxo ni nin kaka?
 
Sasa kama anamashauzi na mcharuko we unaumia nin?
Mjuaji ni wewe mana unajieleza sana.
Kama ww hua unawashusha abiria wako nje ni ww usilazimishe.
Ulilazimisha ushushwe ndani kama nani. Si ungetembea kidogo ukafika. Ningekuwa ni mimi ningekuzaba makofi kesi ingekuwa kukutandika sio kuondoa bajaj ukaruka nje kishujaa.

Mashauzi ni kwako sio kwenye kazi za watu.
 
😂😂😂😂Kwani lazima kutembea kama mtu hataki kutembea kwa nin umlazimishe.
Nionyeshe kwanza kama uko na mkono wa kuchapa vibao usije ukaishia kucharazwa ww makalio.😂😂😂😂
 
Kabisa. Hapa wanaume tayari wameshaweka picha ya ''vidada vyenye maringo'' kwenye vichwa vyao, na ''ku-vihukumu''. Maisha magumu nchi hii yamesababisha wanaume wengi wawe na frustration wanapoona wanawake ambao hawawezi kuwapata kwani uwezo hawana.
Hun, this is a bit harsh.

Please hawa ni kaka zetu. Wana matatizo yao ila ndio wakwetu, na kwa wanaume wa kiTz, haushindi kwa kumshikia panga anapokushikia kisu, it’s a bit trick kunavigate as a woman kwenye hii nchi. Ndio maana huyo dada kaburuzika kwenye lami 😀 (isn’t funny tho)

Ni kuwaelewesha tu kuwa you don’t need to call someone mdangaji ikiwa hajakuuzia/haujamnunua.
 
Umegeuka ugomvi wa wanawake na wanaume na si abiria na mteja wake.

Tz bwana! Binafsi nadhani Bolt , Abiria na Dereva wake wasikilizwe na kila mtu apewe haki yake.
Wanaume wa jf wengi wao sijui ni stress, sijui ni trauma walizopitia kwenye maisha!! Unasoma vitu unabaki tu kujiuliza "what did her mama do"!!!🙆🙆🙆🙆
 
Kweli kabisa inavyoonesha hicho kidada chako kinaa mashauzi yake kimerequest afu tatu afu nyodo kibao na kutaka kumpelekesha dreva bajaj ya mil 10.3 kwa afu tatu pumbafuuu na hilo ni funxo kwa visonkolokwinyo wote
NAKAZIA
 
Wanaume wa jf wengi wao sijui ni stress, sijui ni trauma walizopitia kwenye maisha!! Unasoma vitu unabaki tu kujiuliza "what did her mother do"!!!🙆🙆🙆🙆
What did her mother do…! good question.

Au labda wamejilea which is very unfair kuuliza. Tuishi nao tu….
 
Back
Top Bottom