Hawawezi kukaa kimya
Hao wadada ni waongo.
Bajaj inavyoendeshwa inatumika mikono miwili na mguu mmoja.
Swali langu dereva alimsukuma huyo dada kwa kutumia kiungo gani ? Kama mikono miwili na mguu mmoja ilikuwa inatumika kuendesha bajaj?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kukaa kimya
Ushawai ona bajaji kapakia watu wawili pale mbele yeye anakaa pembeni mwisho kabisa. Kama hilo anaweza inakuaje ashindwe umsukuma mtu ambae yuko mlangoni kabisa huko.Hao wadada ni waongo.
Bajaj inavyoendeshwa inatumika mikono miwili na mguu mmoja.
Swali langu dereva alimsukuma huyo dada kwa kutumia kiungo gani ? Kama mikono miwili na mguu mmoja ilikuwa inatumika kuendesha bajaj
Hivi kumbe ww ndio dereva bolt mwenyewe.
😂😂😂😂😂😂
Usicheze na uhai wa MTU.
Kuna siku utamfanyia mtu huu upuuzi uende kuozea jera na kuliwa tunda juu.
Hili likiisha itakua vizuri ukifungua kesi
Ushawai ona bajaji kapakia watu wawili pale mbele yeye anakaa pembeni mwisho kabisa. Kama hilo anaweza inakuaje ashindwe umsukuma mtu ambae yuko mlangoni kabisa huko.
Masista duu wengi washamba kaka...Yeye location kasema Mlimani city...ukishushwa getini ni sawa kabisaaache ushamba kwani uki request ndio uingizwe hadi ndani?
Askari hujui bolt ni nini em kwanzaHii kesi hamuwezi kushinda.
Kwanza Bajaj haziruhusiwi kupakia abiria mbele. Hivyo huyo dada amevunja sheria kukaa mbele. Japo najua wewe ni muongo muongo kusema amekaa mbele
Pia Yaani abiria wawili tu. Mmoja aache siti tupu mbili zilizobaki nyuma halafu halafu akakae mbele abanane na dereva ? Wewe dada Unatuona sisi wajinga sana
Mimi ni askari, Natamani hiyo kesi nijue ipo kituo gani nicheke kujua nani anapiga hela hiyo ya ujinga wenu
Wewe unatuona polisi ni mazuzu sana
Huyo dada anasema kasukumwa na dereva.Story bado haina uhalisia,. I mean maelekezo hayaeleweki
Mh! hilo neno limeandikwa na mwanaume kweli? Maana wenye msemo wao hua wanalItamka kwa kupindisha midomo huku imeangalia juu kama kasuku, pua moja wanaibana kwa kidole huku wanachezesha kamguu kamoja, 🤔🤔🤭🤣🤣visonkolokwinyo wote
Askari hujui bolt ni nini em kwanza
Ukimaliza kucheka weka kituo.
Ila leo kwa mwingine kesho kwa mzazi wako, mtoto ako au ww mwenyewe
Yaani ageuke nje nyuma bajaji Iko speed harafu amsukume mtu mpaka aangukeHivyo ni vidangaji,Yaani Dereva wa Bajaji huku anaendedha alafu amsukume abiria ,sijui Bajaji wanaifahamu kweli?
Alikaa siti Moja na dereva?WA Kwanza alitoka kwenye foleni
Bajaji ikaendelea kwenda akiwa kabaki mmja, akawa anajaribu kupiga kelele uita watu nje ndio kusukumwa na kujiburuta kweny rami
Kilichotokea hapo naona walirushiana maneno. Maan wadada sijunajua walivo na kelele.Wadada na sisi sometimes tuna shida Sana, wewe umefikishwa mpaka mlimani city nje unashindwa tu kushuka kuingia ndani jamani kweli?.
Kwamba utapungukiwa nini? Au Kuna umbali gani hapo?.Si unatembea tu kuepusha shari, Kama asingewafikisha mlimani city hapo ningeelewa.
Pole kwa majeruhi.
Huyu dada anasema alikaa nyuma dirishani alafu mwenzie mlangoni.Alikaa siti Moja na dereva?
Huyu dada anasema alikaa nyuma dirishani alafu mwenzie mlangoni.
Kwa hiyo huyo bajaji alivondosha bajaji wakafika sehem kuna jam huyo mwingine akaruka akabaki wa mmoja.
Alobaki akawa anapiga kelele kuomba msahada ndio dereva kumsukuma cz alikua karibu na mlangoni kabisa.