Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini.

Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea. Ikafika sehemu kuna msongamano wa magari mwenzie akashuka akamuacha peke ake huko ndani ya bajaji.

Mdada akawa anapiga kelele watu wamsaidie mana jam iliisha na bajaji ikawa inaendeela kwenda. Ghafla bajaji akamsukuma huku akiendelea kuendesha.

Bajaji akakimbia mdada akabaki hapo chini kaumia kachubuka mno. Mdada alipelekwa hospital kupatiwa huduma ya kwanza pia akaenda police. Akaenda pia office za bolt na hawajachukua hatua yoyote. Huyo kaka bolt alikamatwa lakini alitolewa kwa dhamana.

Utaratibu mwingine polisi wamesema utaendelea Jumatatu. Wadada tuwe makini sana kwa sababu sisi ndio tunatumia bolt sana madereva bolt asilimia kubwa wamekua wajinga sana sana.

Mods wakiruhusu nitaweka picha ya jeraha kubwa la huyu dada.

"Nisameeni kwa uandishi mbovu"View attachment 3055138
inspectorbenja acheni ujinga
Hii ni sawa kwa sababu umefanya wewe ila si ndugu yako, dada ako au mzazi wako kufanyiwa.
 
Kweli kabisa inavyoonesha hicho kidada chako kinaa mashauzi yake kimerequest afu tatu afu nyodo kibao na kutaka kumpelekesha dreva bajaj ya mil 10.3 kwa afu tatu pumbafuuu na hilo ni funxo kwa visonkolokwinyo wote
Nimesoma mwisho nikacheka. Bajaj ya 10m kwa abiria 3,000! Mbona hapa ni kama anaetoa 10m ili apate 3,000 ndio anashida? Si angetembelea na watoto wake kwenda beach ili aepuke kutumwa kwa 3,000.
 
Hv kuingiza chombo cha usafiri hapo mlimani c unalipia? Kwahy gharama zingekuwa za nani kati ya dereva au huyo babie
 
Back
Top Bottom