Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Huyo dada anasema kasukumwa na dereva.
Akiwa mlangoni akipiga kelele kuomba msahada barabarani baada ya dereva kuambiwa ingia hadi M City tutalipa sisi getini.
Dereva bolt akakataa akaanza kuendesha bajaji sasa hao wadada hawakujua kama dereva anawapeleka alikowatoa au laah walivofika kwenye jam mmja akaruka akabaki mwingine.
Huyo alobaki akawa anapiga kelele kuita watu wamsaidie ndio dereva bajaji akamsukuma gauni likararuka akaburuzika ndo hapo unaona majeraha.

Dereva kapelekwa polisi akasema yeye hakumsukuma huyo dada.
Duuh🤔🤔,. Anaendeleaje sasa saizi?
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Aise,wadada wa mjini vina tamaa
Walitaka kuingia mlimani City kwa mbwembwe

Ova
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Vijinga kumbe, mngevitia vidole pumbav
 
Ila vijana wa jf mnawaza kama wavulana muda wote.
Pole yake huyo aliyeumia na apate uponyajibwa haraka.

NB: Washauri hao wadogo zako wasipende kuigiza maisha ambayo hawana ndo gharama zake hizo. Hapo walikuwa wanatafuta snapchat za kuringishia kwenye mitandao. Halafu waambie ujinga wa kwenda kutoa taarifa za uongo polisi siku wakikutana na watu wakawakomalia itawatokea puani.
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Inaonekana huyu ndio dereva mwenyewe
 
Pole yake huyo aliyeumia na apate uponyajibwa haraka.

NB: Washauri hao wadogo zako wasipende kuigiza maisha ambayo hawana ndo gharama zake hizo. Hapo walikuwa wanatafuta snapchat za kuringishia kwenye mitandao. Halafu waambie ujinga wa kwenda kutoa taarifa za uongo polisi siku wakikutana na watu wakawakomalia itawatokea puani.
Sawa wamekusikia maan pia ni wapumbavu kusema wameibiwa 10m
 
Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini.

Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea. Ikafika sehemu kuna msongamano wa magari mwenzie akaruka akamuacha peke ake huko ndani ya bajaji.

Mdada akawa anapiga kelele watu wamsaidie mana jam iliisha na bajaji ikawa inaendeela kwenda. Ghafla bajaji akamsukuma huku akiendelea kuendesha.

Bajaji akakimbia mdada akabaki hapo chini kaumia kachubuka mno. Mdada alipelekwa hospital kupatiwa huduma ya kwanza pia akaenda police. Akaenda pia office za bolt na hawajachukua hatua yoyote. Huyo kaka bolt alikamatwa lakini alitolewa kwa dhamana.

Utaratibu mwingine polisi wamesema utaendelea Jumatatu. Wadada tuwe makini sana kwa sababu sisi ndio tunatumia bolt sana madereva bolt asilimia kubwa wamekua wajinga sana sana.

Mods wakiruhusu nitaweka picha ya jeraha kubwa la huyu dada.

"Nisameeni kwa uandishi mbovu"View attachment 3055138View attachment 3055167

View: https://x.com/GIVENALITY/status/1817504252467576929?t=FFyZg5lp8w492268Chg5NA&s=19
 
Back
Top Bottom