Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Mkuu afadhali umesema kwa upande mwngne sababu sikuhizi wadada hao njaa na roho mbaya wanaona wakimkodi mtu wanamuamrisha vyvyte tu chukua hatua haki ipatkane, ningekua na uwezo hao wadada waliosingizia wameibiwa hela ningewacharaza fimbo nyingi sana
 
mlimani kituo chabajaji kipo huyo anataka aingizwendani kama nani?
Kama nani kivipi wakati si jambo geni kuingia na bajaji ndani? Binafsi labda niwe na haraka ndio nitashushwa hapo nje, otherwise nitaingia na bajaji hadi ndani.

Changamoto ya hao huenda kila mtu alimpandishia mwenzie kiswahili.
 
Ila wabongo ustaarabu bado sana. Leo asubuhi naenda kwenye event fulani nilishapanga bajaj ya kunipeleka tangu jana.
Bajaj kaja amenisubiri kuna jamaa wengine wanaenda event hio hio wakawa wanamlazimisha awapeleke wao aachane na mimi. Ila Bajaj akakaza nikafika pale kuona jamaa wako stranded na tunaenda sehemu moja nikamwambia Bajaj awaruhusu wapande twende wote. Wakapanda. Kufika eneo la tukio wakshuka wakajipangia bei likaanza zogo na Bajaj wakamtupia zile hela wakaondoka. Nilishangaa sana, nilichofanya nikampa Bajaj nauli full tuliyokubaliana mimi na yeye ile ya jamaa ikawa bonus. Jamaa ni watu wazima ukiwaona unaweza kufikiri wanajitambua kumbe ni bure kabisa. Yote ni dharau kwa kazi za watu.
 
Acha upotoshaji na kuongea mambo kwa kusikiliza upande mmoja. Huyo dada yako na mwenzake safari yao ilikuwa inaishia nje ya mlimani City. Dereva kawaambia safari imeishia wampe hela yake.Wanagoma wanafai, awaingize ndani wataongeza hela.

Jamaa kagoma kasema anarudi nao alipotoka, wao wakaruka. Alafu washenzi sana hao wadada,wameenda kumfungulia mashtala eti wameibiwa milioni kumi na simu ya iphone. Yaani hivyo vidada vinaonekana kabisa vina roho mbaya.

Na vinasambaza habari kwenye mitandao na kuweka namba ya dereva.Sasa tutashugulika navyo kwa njia ya kisheria.Hili likiisha tutafungua kesi nyingine.
Punguza kuropoka, itakusaidia maishani
 
Ila wabongo ustaarabu bado sana. Leo asubuhi naenda kwenye event fulani nilishapanga bajaj ya kunipeleka tangu jana.
Bajaj kaja amenisubiri kuna jamaa wengine wanaenda event hio hio wakawa wanamlazimisha awapeleke wao aachane na mimi. Ila Bajaj akakaza nikafika pale kuona jamaa wako stranded na tunaenda sehemu moja nikamwambia Bajaj awaruhusu wapande twende wote. Wakapanda. Kufika eneo la tukio wakshuka wakajipangia bei likaanza zogo na Bajaj wakamtupia zile hela wakaondoka. Nilishangaa sana, nilichofanya nikampa Bajaj nauli full tuliyokubaliana mimi na yeye ile ya jamaa ikawa bonus. Jamaa ni watu wazima ukiwaona unaweza kufikiri wanajitambua kumbe ni bure kabisa. Yote ni Sharan kwa kazi za watu.
Ukisikia hadithi yao watakavyoielezea usiashangae wakasema dreva bajaji ana tamaa, haridhiki na fedha.
 
Back
Top Bottom