Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda.

Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.

Your browser is not able to display this video.
 
Madereva wa serikali wengi ni hopeless
Wakisha kuwa na ST wana dhani wako juu ya sheria. Leo karibu gari STM landcruised karibu anigonge kwa overtaking ya kipumbavu. Ati ana muwahi boss wake kalala SG hotel Arusha
 
Uongozi wa jf ungeweka sheria kua ukianzisha Uzi ambao Hauna maana unafungiwa kuanzisha Uzi hata wiki ivi, kidogo tungeelewana...

Bila video hapa hakuna ulichoeleweka

Mbona mwamba katusanua vizuri tu hapa?

Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda.
 
Dereva ni dereva tu; awe wa gari la serikali au la kanisa au la msikiti au la kwake.
Kuwa dereva wa serikali is not an issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…